Huu ndio uzalendo wa kweli. Unakataa rushwa ya mil 5 unapokea cheti

Huu ndio uzalendo wa kweli. Unakataa rushwa ya mil 5 unapokea cheti

Inashangaza kuona comments nyingi ni za kumkandia na kumbeza badala ya kumpongeza
Hiki ndio kizazi cha kubet wanapenda easy money!

Ndio maana wanamlaumu huyu jamaa,kuna watu wanamaadili Yao ya kazi na hawapendi makando kando

Kuna wapuuzi humu ndani wanamkandia jamaa kana kwamba hiyo hela ingetatua matatizo yake yote

Hela za namna hiyo wala huwa hazina baraka kabisa!

Hiyo mnamuona Fala kwasasa Ila atapewa nafasi nzuri ambayo itamuwezesha kupata kipato kizuri huko mbeleni.
 
Mungu hatoi baraka kizembe kwa mjinga.Fuatilia simulizi ya Jacob na Isaka.
Kwa hiyo kukataa rushwa ni uzembe? Rushwa ni dhambi, (japo sijui kilichomsukuma asichukue rushwa kama ni imani ya dini au maadili ya kazi yake) hivyo alichofanya huyo askari ni kitu chema.
 
Enyi wanadamu, tafuteni kwanza Ufalme wa Mungu, vya Dunia vinapita tu. Hongera kwa kukataa rushwa.
 
Niwe mkweli jamani mi uzalendo wa ivo sina ila ningewaomba ndugu wasafirishaji haramu waniongezee 5 nyingine ziwe 10
 
Back
Top Bottom