Huu ndio uzalendo wa kweli. Unakataa rushwa ya mil 5 unapokea cheti

Huu ndio uzalendo wa kweli. Unakataa rushwa ya mil 5 unapokea cheti

Kuna kuishi kwa kutumia akili ya darasani, na kuna kuishi kwa kutumia akili ya kuzaliwa; kwa sababu ametumia akili ya darasani, naona cheti kinamfaa zaidi hata kama atalala njaa.
 
Hivi wanaomponda jamaa mmekubaliana kila mtu kula kwa urefu wa kamba au maana wengine wakibutua mabil mnarud kulalamika
 
Huyu ni boya mno. Liinchi lebyewe hili limeshajifia. Kila mmoja ni mpigaji tu. Hata milioni 2 tu ilipaswa achukue. Unakataa milioni 5 kwa faida ya nani?. Maana hao wahamiaji wenyewe hakuna hasara yoyote kwa yoyote ukiwaacha waendelee na 50 zao hakuna tunachopoteza au kuwakamatisha bado hakuna lolote la maana, hata taifa hakuna linachoambulia. Zaidi tu kwa sasa kuikataa hiyo milioni 5 na kuwakamatisha tayari ametengeneza maadui
 
Nampongeza kwa uzalendo wake, Mungu atamlipia though nikifuatilia huu uzi na Comments za wadau umelenga kama kumuona jamaa boya fulani hivi.... Na kusahau kwamba jamaa ka-play part yake vizuri ila walio juu yake ndo waliofeli.
hao hawana madhara kwa taifa hili.mkuu huyo askali ni mjinga tu .ulishawahi kusikia Zambia wamekamatwa hao? hawana mpango na sisi wao wanafocus mmbeleee
 
Wewe ndiyo aina ya jamii tuliyonayo. Mabingwa wa uhalifu, mnazidiana kete tu na wale wa Lumumba
Uhalifu kupokea "zawadi"?Una kichaa jamaa yangu.Unataka nikudanganye kwamba nisingechukua ili nikufurahishe?😂😂😂😂
 
Sasa mimi nisipokuwa na 30 thousand yakuchangia JF wewe shida yako ni nini hasa?

Unafikiria kwakutumia masaburi?

Hapa tunazungumzia hukuhu rushwa.

Huoni ni ujua kutetea rushwa?
Watanzania siku hizi wamekua Wajinga sana kwenye Rushwa,yaani kila Mtu eti anaona Rushwa ni haki yake,na usipompaa Rushwa anakuona wwe siyo wamaana hata kidogo!!
 
Kama kawaida, mbio kama zote kuja kuwahi kulaumu usilolijua kwa undani......inasikitisha sana!
 
Back
Top Bottom