covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Wachache wapi misifa tu ndio iliyomjaa na angejua hata mahakamani kwa kesi kama hizo adhabu ni kifungo cha miaka 5 au faini ya million 5 hiyohiyo..ndio angejua hajuiWamebaki wachache sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache wapi misifa tu ndio iliyomjaa na angejua hata mahakamani kwa kesi kama hizo adhabu ni kifungo cha miaka 5 au faini ya million 5 hiyohiyo..ndio angejua hajuiWamebaki wachache sana
Tumejifunza kwa viongozi wetu watukufu..Watanzania siku hizi wamekua Wajinga sana kwenye Rushwa,yaani kila Mtu eti anaona Rushwa ni haki yake,na usipompaa Rushwa anakuona wwe siyo wamaana hata kidogo!!
Hapo anaweza undiwa zengwe hata ukoplo kunyofolewa.... Matarajio ni kupokea na kupeleka %kwa wazee ... Unapewa cheti huku nyuma ukipigwa madongo kuwa ni punguani na kiherehere !!! Ingekuwa sivyo rushwa ingekuwa historia katika taifa hili kwani watumishi wengi wanauadilifu lakini.... !!!!Huyu Askari kukataa hivyo vijisenti haisaidiii chochote wakati walioko juu yake wanazipiga rushwa kama hawana akili nzuri.
Haya ni madhila wanayokutana nayo wasiopenda rushwa. ... Matusi, kejeli nk
😁😁😁😁 si cheki kwa kufurahi hapana ila najiuliza siku ya pili akipewa million 5 tena ataikataa akapate cheti kingine auAskari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini.
Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa Polisi Manyara ACP George Katabazi kwa utendaji wao bora kwa mwaka 2021 - 2022.
Alaf wakisikia kuna mtu kalamba bil kadhaa peke yake wanafura tenaWatanzania siku hizi wamekua Wajinga sana kwenye Rushwa,yaani kila Mtu eti anaona Rushwa ni haki yake,na usipompaa Rushwa anakuona wwe siyo wamaana hata kidogo!!
Wanasiasa wanaona? Huu ndio uzalendo, je wao wanauweza?Askari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini.
Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa Polisi Manyara ACP George Katabazi kwa utendaji wao bora kwa mwaka 2021 - 2022.
Huyu sio kavunja record huyu? Unakataa hela unakubali makaratasiAskari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini.
Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa Polisi Manyara ACP George Katabazi kwa utendaji wao bora kwa mwaka 2021 - 2022.
Huyu hata polisi wenzake,sahv wanamshanga....Yaani kamanda ameacha hela amechukua cheti maajabu haya
Nimesema hiyo..nmekumbuka kisa cha afande meshackSoon yatamkuta ya Afande Neshack
Hapo katengezeza internal conflict na polisi wenzake
Mungu hatoi baraka kizembe kwa mjinga.Fuatilia simulizi ya Jacob na Isaka.Mungu ambariki huyo askari mwaminifu.
Kukataa rushwa ni ujinga ?....Jinga hilo likoplo sugu.Achana nalo.