Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

Kosa halihalalishi kosa ,ni upumbavu wa hali ya juu wanachokifanya hawa wapuuzi CDM eti tunataka katiba mpaya ,hata kama kuna uhitaji kwa aina wa siasa za mbowe za kuropoka zidhani kama watanzania hata watamuunga mkono huyu jinga kwa kichaga tunaita watu wa aina ya mbowe Ni TONDO
Kama ww sio mnafiki, onyesha mahali ulipokwazika na lugha Za yule dhalimu, maana hizo lugha zisizo na staha alikuwa anazitoa kila mara. Kinyume na hapo kaa kwa kutulia mnafiki ww.
 
Safi sana mdude muonyesheni Mama jinsi gani HAMNA FADHILA ... ukicheka na NYANI UTAVUNA MABUA...
 
Eti muambieni huyu MAMA YENU ... huyu mtoto mdogo anataka KUMNYOA MTU MZIMA AMBAYE NI SAWA NA MAMA AKE tena kwa lazima haya bwana MDUDE dunia ni yako .
 
Chadema ni CHAMA CHA WAHUNI hakuna system yoyote itaruhusu kundi la watu aina hii kuchukua nchi.
 
Chadema ni CHAMA CHA WAHUNI hakuna system yoyote itaruhusu kundi la watu aina hii kuchukua nchi.

Mkuu umesahau hivi majuzi kuna kiongozi aliyekuwa Mkuu wa nchi aliyesema watu wabaki na mavi yao nyumbani? Umesahau kuwa kiongozi huyo mkubwa kabisa wa ccm na nchi kwenye mkutano wa hadhara alisema kuna mtu titi lake limefanana na barakoa?
 
Nimemshangaa sana aisee harafu wafuasi wa Chadema wanamshangilia.

tulivowaambia apa iki chama wa wavuta bangi, ielewe sasa! kuna hawa wavutaji wengine apa
1625339094053.png
 
Nipe tofauti ya hiyo kauli ya Mdude na ile kauli ya kiongozi dhalimu wa ccm kuwa watu wabaki na mavi yao nyumbani. Mbona hakujitokeza na kulaani kauli ile?
We jamaa nakuona una data sana, sasa watu kama nyie ndio tunawataka kwenye one to one tuone inakuaje Kati ya CCM Smart vs Upinzani Smart pachimbike
 
View attachment 1839092
Wanabodi

Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni.

Huyu jamaa Chadema wamemtoa wapi sijui sasa hivi ndiyo mtaji wao wa kisiasa kuelekea kuchukuwa dola na kupata katiba mpya, wakati yupo jela nilidhani mtu mmoja makini sana mwenye ushawishi kwa jamii kumbe hali yale ndiyo hiyo.

Cha kushangaza anaongea pumba wafuasi wa Chadema wanamshangilia masikini daaah huyu jamaa Chadema wanamtegemea kuwa mlithi wa Mbowe.
Screenshot_20210703-220727.png
 
Mkuu umesahau hivi majuzi kuna kiongozi aliyekuwa Mkuu wa nchi aliyesema watu wabaki na mavi yao nyumbani? Umesahau kuwa kiongozi huyo mkubwa kabisa wa ccm na nchi kwenye mkutano wa hadhara alisema kuna mtu titi lake limefanana na barakoa?
Huyo kiongozi mkubwa unaweza mfananisha na nani unayemjua Chadema?
 
Kosa halihalalishi kosa ,ni upumbavu wa hali ya juu wanachokifanya hawa wapuuzi CDM eti tunataka katiba mpaya ,hata kama kuna uhitaji kwa aina wa siasa za mbowe za kuropoka zidhani kama watanzania hata watamuunga mkono huyu jinga kwa kichaga tunaita watu wa aina ya mbowe Ni TONDO

..sasa mbona na nyinyi mnatoa lugha za matusi dhidi ya viongozi wa chadema?

..au wanaotakiwa kuheshimiwa nchi hii ni viongozi wa ccm peke yao, viongozi wa vyama vingine hawastahili heshima?
 
Huyo kiongozi mkubwa unaweza mfananisha na nani unayemjua Chadema?

Ukiwa na madaraka kwenye nchi hii una ruhusa ya kutoa lugha chafu? Nilijua kwa mnafiki yoyote kama ww lazima ukose Utetezi kwenye hili.
 
Safi sana mdude muonyesheni Mama jinsi gani HAMNA FADHILA ... ukicheka na NYANI UTAVUNA MABUA...
Shukrani ya punda mateke, na ukimchekea mbwa atakufuata hadi msikitini, tutazidi kumkumbuka mwendazake, mnaotaka kumpiku mtapata taabu sana.
 
Back
Top Bottom