Beach zimekauka ikiwa unataka kiwanja cha beach tutakuonyesha iliookuwaga miaka 1000 iliopita.. pengine Inshallah basi hata generation yako ya 50 huko watakuja kurithi eneo na kuja kuogeleaga au kufungua "coco beach" yao .. siku beach ikirudi.. ila sio wewe maana hadi irudi wewe BWANA ALIE JUU ATAKUWA KESHATWAA KILICHO CHAKEKaribu na beach
maji yapo chini ya ardhi, na kuna barafu kwenye poles zake.
oxygen kidogo sana.
lakini kinadharia inawezekana kubadilisha sayari iwe na uwezo wa kuhifadhi viumbe hai(terraforming) ila hiyo teknolojia hatujaifikia
na nimesikia wanasayansi wanasema venus itakuwa rahisi zaidi kuterraform kuliko mars, sijui kwanini
inawezekana kabisa ikifika mahali binadamu tukapata teknolojia ya kusafiri kwenye tupu, tutajaribu kumiliki sayari zingine,
na isitoshe vitisho vya mabadiliko ya tabia nchi, malighafi kuisha vikatusukuma
Kila kigu kinaanza na idea mkuu. Na science kila kitu hua ni mzengwe mpaka kifanikiwe, acha wanaopambania wapambanieMtasubiri sana, hakuna binadamu atakayeweza kuishi nje ya dunia hii.
Watakaokuja kusoma hii comment mwaka 2100 watasema Babu Yao alikuwa mjinga sanaMtasubiri sana, hakuna binadamu atakayeweza kuishi nje ya dunia hii.
haha! hawajawahi kwenda ni vyombo tu vinaenda! kwa binadamu mpk anafika sayari ya mars ni hatari mno! hatari ni nyingi sana! kuna mionzi pia kuna muda kufika huko ni miezi sita na hapo ni dunia imesogeleana na mars,kukaa kwenye chombo miezi sita si jambo dogo na unapokuwa nje ya dunia hatari ya mionzi inaongezeka mara dufu,pia kuna majabali/miamba inatembea kwa spidi sana yenye ukubwa tofauti tofauti yanaweza kugonga chombo!.Toka waanze kwenda huko hawajawahi kupanda mti?
Kurani iliyoteremshwa duniani ndiyo itatumika na huko au itakuja nyingine?Kuna pombe?
Huu Ulimwengu ni wa ajabu mnoo..NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.
View attachment 3117893
View attachment 3117895
View attachment 3117899
Source: science.nasa.gov
Udongo unasapoti uoto wa asili.!? Je wazungu hajajaribu panda miti!?Oxygen ipo
Miti inapandika huko
Ova
Amina ubalikiwe sana
Viumbe hai wanaweza kuishi huko?...maji yapo?...NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.
View attachment 3117893
View attachment 3117895
View attachment 3117899
Source: science.nasa.gov
Utaenda kwa usafiri upi ?huku ndo kwakwenda kuwai viwanja aise.
Nawai viwanja vya kutosha uko mbeleni mkija na wapiga bei za kutosha.