Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

nakumbuka 2003 nilikua nakaa miezi mitatu hajarud home yupo shamba kaweka kambi, asaiv ndio naelew
 
Maisha hayakuwahi kunidekeza kwa hiyo nilikuwa najiona nunda maana moyo una sugu 😁😁.. Maisha yakanichekea usoni na kuniambia, hakuna siku nzuri au mbaya kuliko zote kabla hujaingia kaburini

Nilipigwa matukio mfululizo nikajiona bwege mmoja, saa hii nina adabu na heshima zote hata nikisikia mtu kajiua, sina time ya kumuhukumu kama zamani
 
Litakuwaje jibu kama hakuna swali🌚🌚
 
Duh kuna jamaa alikuwa mkubwa kwetu aliwahi kutuambia 'kuna siku mtawaambia watu mlikuwa mnaishi mtaa huu watawabishia' kila nikipita huo mtaa namkumbuka yule jamaa!
Aisee...
Nani atanielewa nikisema tulikuwaga tunaishi Mtaa wa Haile Sellasie..
Maisha haya...Acha tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…