Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Kwa nini watu wanapenda pombe wakati sio tamu kama soda?
Kuhusu swali hili, hakuna mtu ana majibu yote kama mimi.
😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini watu wanapenda pombe wakati sio tamu kama soda?
Kuhusu swali hili, hakuna mtu ana majibu yote kama mimi.
Hahaha taikon umeua hapo kwenye anko anakuja mida ya kula na hafukuzwi zaidi ya kusengenywa
Kwanini naishi na Bibi na Babu wakati Nina mama/baba kwanini nisikae na wazazi?
Yule mjomba anayenuka miguu ana shati hilo hilo moja [emoji2]
Nimepata majibu baadhi ya mamb niseme kwamb maisha ayana formula.
Daahh nashukuru sana maana nimecheka 🤣🤣🤣🤣Yule shangazi asieolewa ndio nimekua mimi sasa, maisha haya
😃😃Daahh nashukuru sana maana nimecheka 🤣🤣🤣🤣
Yule shangazi asieolewa ndio nimekua mimi sasa, maisha haya
We cheka tu [emoji2][emoji23]
Ah wapi kwenye dp unaonekana tozi kabisaNdio Mimi [emoji23][emoji23]
Ila nyie maisha haya ukiwa na afya njema unamshukuru Mungu
Ikawaje 😃😃Nilipokuwa mdogo nikiona gorofa nilijisemea moyoni nikiwa mkubwa najenga zaidi.ya hili tena kwa siku chache sana, hahahaha *****
Litakuwaje jibu kama hakuna swali🌚🌚Anaandika, Robert Heriel
Maisha ni mchezo wa maswali na majibu.
Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu.
Nilipo kua nasoma nilifikiri kozi za afya ndio mchongo...Sasa najuta Huku kitaa
Aisee...Duh kuna jamaa alikuwa mkubwa kwetu aliwahi kutuambia 'kuna siku mtawaambia watu mlikuwa mnaishi mtaa huu watawabishia' kila nikipita huo mtaa namkumbuka yule jamaa!