Duh kuna jamaa alikuwa mkubwa kwetu aliwahi kutuambia 'kuna siku mtawaambia watu mlikuwa mnaishi mtaa huu watawabishia' kila nikipita huo mtaa namkumbuka yule jamaa!
Hiyo namba sita 😂😂katika ukuaji wangu niliwahi muona Baba akienda kanisani mara 1 tu na hakumaliza ibada😂😂😂khaa..nilikua najiulizaga kwanini halipendi kanisa.