Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

Hiyo namba sita 😂😂katika ukuaji wangu niliwahi muona Baba akienda kanisani mara 1 tu na hakumaliza ibada😂😂😂khaa..nilikua najiulizaga kwanini halipendi kanisa.
 
Mama mdogo/shangazi mkali mnoko ndiyo Mimi Sasa😂..wanangu wananiogopa mpaka Kuna muda najishtukia Yani.
 
Back
Top Bottom