Unaishi kwa matumaini ....Jimbo limechukuliwa ila sijui ya mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi kwa matumaini ....Jimbo limechukuliwa ila sijui ya mbele
😂😂 Nimejifunza mengi. Na pia nimeacha kunyooshea watu vidole maisha haya hayana formula🤣🤣🤣🤣🤣 Eeh mlidhani ndoa lelemama
Vizuri. Tuendelee kujifunza😂😂 Nimejifunza mengi. Na pia nimeacha kunyooshea watu vidole maisha haya hayana formula
Bila shaka itakua wanapenda matokeo yake baada ya kuinywa.Kwa nini watu wanapenda pombe wakati sio tamu kama soda?
Daah, uliposema Datsun umenikumbusha mbali mno......Umenifikirisha sana, enzi hizo Nyerere bado Rais mshuwa alitoka ughaibuni na gari yake Datsun na Radio player.
Mazee, hili nalo limenikumbusha mbali sana. Basi tu sina la kusema......Duh kuna jamaa alikuwa mkubwa kwetu aliwahi kutuambia 'kuna siku mtawaambia watu mlikuwa mnaishi mtaa huu watawabishia' kila nikipita huo mtaa namkumbuka yule jamaa!
Itoshe tu kusema aliyegunduwa pombe na muziki wana nafasi yao peponi.Kwa nini watu wanapenda pombe wakati sio tamu kama soda?
Kuhusu swali hili, hakuna mtu ana majibu yote kama mimi.
Yule shangazi asieolewa ndio nimekua mimi sasa, maisha haya
😂Yule mjomba anayenuka miguu ana shati hilo hilo moja [emoji2]
Yule kaka niliyekuwa nataman kuwa mkubwa ndio mimi leo hii nataman kurudi udogon tenaYule shangazi asieolewa ndio nimekua mimi sasa, maisha haya
😂😂 Mimi mwenyewe natamani kurudi udogon ukubwa hauna hata maana.Yule kaka niliyekuwa nataman kuwa mkubwa ndio mimi leo hii nataman kurudi udogon tena
"Kuna yule mjomba kila akija nyumbani anakuuliza upo darasa la ngapi sasa hivi ndo mimi sasa"[emoji1787][emoji2960]