Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅 ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri wa sura ... halafu na pesa ya kutumia inamtosha!
Sasa si Putin akalianzisha lile 'MBUNGI' la Ukraine na 'WATU' wameanza kugundua kuwa hata huko maulaya kumbe nako sio tuuu!!!?
Juzi huyo rafiki yangu wa facebook akaanza kuniuliza bei ya vyakula mbalimbali Bongo ... bila ajizi nikamuambia kilo ya mchele ni chini ya dollars mbili, kuku wa kienyeji, jogoo, chini ya $10, samaki kilo moja, hapa Mwanza, ni chini ya $5, ... na bado kuna matembele yale yanayojioteaga tuuu yaani kule nyuma ya bafu ... yenyewe anajichumia bure tuuu! ... Demu kusikia hivyo si udenda ukamtoka! 😅
Kaniambia yeye anakula 'junk food' kwa bei zinazoenda kumfilisi kwa muda wa miezi kadhaa tuu na kwamba kwa hela aliyonayo anaweza kula na mimi, mke wangu na watoto wangu wawili tukiwa hapa Bongo kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kufanya kazi! ... yaani sasa hivi mama wa watu, mzungu, anasubiri rukhsa ya my wife tu aje kuwa mke wa pili kwa gharama zake!
HALAFU WABUNGO ETI WANADHARAU MATEMBELE NA KISAMVU! 😅 ... TUJIHADHARI MAANA SI MUDA MREFU WAZUNGU WATATUVAMIA KUFATA HAYOHAYO MATEMBELE!