Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

Wanigeria kazini,

Soon atakwambia Kuna pesa yake ndefu imekwama bank, mtumie dolla kadhaa afanye clearance aje bongo.

Baadae ya Hapo, utajua hujui
 
Inaweza kweli mkuu. Mimi imeshanitokea. Sema huyu wa kwangu hakuwa na pesa. Ni kipindi kile watalii wamekuja Zanzibar halafu Putin akaliamsha Ukraine.

Nitajie mzungu anajulia wapi matembele?

....bado kuna matembele yale yanayojioteaga tu yaani kule nyuma ya bafu ... yenyewe anajichumia tu bure! ... Demu kusikia hivyo si udenda ukamtoka!
 
Nitajie mzungu anajulia wapi matembele?
Katika maongezi yao yawezekana alishamuelezea jinsi yalivyo maana anasema alikuwa rafiki yake. Kuna wazungu ambao ni wadadisi wanapenda kukujua unapenda kula chakula gani, mazingira ya nyumbani kwako yakoje, jamii yako, utamaduni wako .

Sibishi wala kukubali moja kwa moja kwasababu baadhi ya haya maswali nimewahi kuulizwa.
 
Wanigeria kazini,

Soon atakwambia Kuna pesa yake ndefu imekwama bank, mtumie dolla kadhaa afanye clearance aje bongo.

Baadae ya Hapo, utajua hujui
... alishanipa midolari mara kibao! ... na wala sio ile ya kuombwa eti dollars 100 kama gharama za ku'process' za wahuni wa Lagos! 😅
 
Back
Top Bottom