Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
- Thread starter
- #61
Sio kweli huku wageni wengi na wanaishi kwa amaniacha uongo wewe ..mara ni mara tu ....Mme kumkata panga mkewe kitu cha kawaida Sana acha kupotosha.. ndio maana mji hauendelei maana mtu anaogopa kufungua biashara zake za maana...maana ukipewa 10000 mtamchinja tu ....bila woga...
mnahitaji Maombi ya ukombozi ili mfunguliwe na maroho ya mauaji na kukatana bila hata woga....khaaa acha kucheza na kina muraaa bana!....
watu wanakuja tu sababu ya ajira....na wanapangiwa 19 wanaripoti 4 khaaa nyie Sio kabisa.....maana mtu akija kwenu aombe Sana Mungu kila iitwapo Leo....maana nyie Sio.
Sent using Jamii Forums mobile app