Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

Mahakama ndio ingeamua ni kichekesho ama LA, inawezekana isifike hio Amount alioitaja Magu ila ukawepo kweli huo wizi. Unajua wazi fika kuingilia sovereign ya Nchi na Mahakama ni against everything wanayo preach ila unajiziba macho, siku njema.
 
Mahakama ya Tanzania ndiyo ingeamua Canada itoe au isitoe misaada kwa Tanzania?

Mahakama gani Tanzania? Hizi mahakama ambazo Rostam Aziz kasema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu za amri kutoka juu?

Kwa nini unalilia misaada ya Canada badala ya kuwabana viongozi wako wajenge nchi isiyohitaji misaada ya Canada?
 
Wazungu wasingetusaidia Waafrika tungeshakufa wengi sana, kwanza MALARIA kama Tropical Disease ingeshatumaliza wengi sana hasa Watoto wetu

Sio Malaria tu, hata magonjwa mengine hasa Viral Diseases

Tunajifanya kuwaponda wakati tunawategemea

Watu weusi wanashangaza sana
 
Mkuu hongera sana!
Ila je wajua kuwa hakuna jambo mzungu tena Marekani analifanya kwa kutumia pesa zake pasi na kupata faida?! Hisani ya Marekani sio bure bali nyuma ya pazia kuna mengi yanaendelea. Mfano tu:
USAID ambao ndo wadau wanaosaidia kwenye masuala mazima ya afya ya Mama na Mtoto ukitazama kwa undani kuna makubaliano ya kipuuzi sana yanafanyika bila walengwa kufahamu.​
 
HA
HATUWEZI KUHJTEGEMEA

Wazungu ndio wanairun Dunia na wabaelekea katika ku run sayari nyingine...wakifuatiwa na Asians

Huyu anayekubishia hapo aache UNAFIKI, Watu weusi hata kujiongoza tu hatuwezi
 
Ni Bora wasaidie na kujinufaisha hata kwa kuiba, Wasingetusaidia sisi tungeweza kujisaidia?

Hata resources tu hatuwezi ku utilize🤣🤣🤣
 
Tupe vile vile data za wao wanachukua nini kutoka kwetu? USA hawawezi kutoa msaada bure nimefanyanao kazi nawajua sana.
 
Tupe vile vile data za wao wanachukua nini kutoka kwetu? USA hawawezi kutoa msaada bure nimefanyanao kazi nawajua sana.
Kuna shida gani ukiziweka wewe hizo data?
 
Ni Bora wasaidie na kujinufaisha hata kwa kuiba, Wasingetusaidia sisi tungeweza kujisaidia?

Hata resources tu hatuwezi ku utilize🤣🤣🤣
Huna taarifa zakutosha hivi unajua miaka ya 70s walifuta misaada yao eti kwa kuwa sisi tulikaa ujinga wao lakini Urusi na China waliendelea kusaidia TZ mpaka leo na misaada yao ni mizuri ya kukusaidia kujikwamua. Siyo ya hawa US ambao hutengeneza tatizo then wanajifanya kukusaidia kama unavyoona kwenye Ukimwi na COVID.
 
Uyo ndo hana akili alikua akitumia nguvu kwenye ammbo ya reasoning nguvu mwisho hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…