Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
- Thread starter
- #21
Maokoto mzeeUmefika la 4?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maokoto mzeeUmefika la 4?
Ndugu ninakushangaa mno kwa kiwango cha ujinga ulio nao. Inawezekanaje mtu humfahamu akuagize jambo? Pia kwa jinsi bodaboda zilivyotapaka hawezi kupata huko aliko? Dah! Inatia hasira mno uwepo wa watu wajinga kama wewe nchini.Kuna watu wanakupigia simu eitha uwape namba ya dreva tax,bodaboda wakiomba huduma eneo fulani au Kama una namba zao uwapigie waende walipo hasa maeneo yanayotajwa ni yale wanayojua ulipo hayawezi kukosa,makanisa,shule,stendi,kiwanja cha mpira au soko
Ukimwambia bodaboda au dreva tax nenda sehemu fulani kuna mteja akifika eneo tajwa hakuna mtu na namba haipatikani,inabidi anarudi anakwambia huyo mtu hayupo na kama sehemu ni ya mbali anadai umpe nauli ya usumbufu au anampigia dreva au bodaboda njoo sehemu fulani unichukue akifika hakuti mtu au
Anakuomba umwambie bodaboda au dreva tax anunue kitu fulani aende nacho akifika atampa hela yake na nauli,ukinunua akaenda nacho hakuti mtu na simu haipatikani
Je umewahi kukutwa na kisa hiki ?
Hawa watu wamekosa kazi ya kufanya au wanataka nini?
Asante ndugu, wanadamu bwana!Pole sana aisee
Huyo alienipigia simu kumhitaji boda boda alinitaja kwa jina langu, anaomba namba y boda ninaye mfahamu, ikabidi nimpigie boda kwanza kwamba kuna mtu yupo sehemu fulani anahitaji usafiri nimpe namba yako , boda akakubali namba yake nimpe.Na nani anayekufanyia hivyo? Anakujua huyo mtu au? Kwanini mtu from nowhere akupigie simu alafu akuagize kitu nawe ufanye?