Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

Pole lakini kwa tatizo la ndugu yetu.
Nashauri muongee na ustaz awafanyie nusu bei na awaaambie ukweli shida ni nini hasa
Yaani, yeye hapigi ramli anachofanya ni kumtibia na hizo dawa ambazo anaenda kununua maduka ya dawa asili na anamsomea dua hayupo kama mganga
 
Back
Top Bottom