Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

Ungekuwa umeacha Pm wazi kuna picha halisi ningekutumia ambayo ingeongea mambo mengi sana..

Cha msingi nenda kwa Mtaalamu akupigie Ramli ujue huyo kaka yako Aligusa vya watu au Watu ndio wanamuandama pasipo yeye kuwa na Makosa
Dah! Yaani haya mambo ya waganga sipendi kuyaamini na kushiriki maana badala ya kutatua tatizo unaweza kujikuta unaenda kuzidisha
 
Kwahiyo kama hii ni kazi pekee anayoweza kufanya duniani hatuwezi kusema labda ajaribu kua mpishi hotelini?
Alikuwaga anafanya fundi welding, ila hii kazi ndiyo hivyo anaona kama hapati pesa chap chap ndiyo akahamia huku kwenye boda boda sasa ukimwambia swala la kuacha hii sijui kama atatuelewa
 
Duh! Hii ni hatari sana na kumwambia kijana aache bangi ataona kama unamuingilia kwenye maisha yake
Best solution, record video akiwa kwenye hali ya uchizi, akipona mkalishe kitako kisha mhoji kuna nini nyuma ya pazia..

Ukiona hatoi ushirikiano muoneshe video namna gani akiwa chizi Jinsi anavyozalilika mtaani..
 
Back
Top Bottom