Kuna mambo mengine hayatibiki mpaka akili kosa alilofanya kama kuna kitu alifanya.... ( mitego ya aina hii mara nyingi huoteshwa so ikikua ndo huleta madhara),Hapa. Naumiza kichwa ya tiba aisee🙂↕️🙂↕️
Ngoja tumkazanie kwenye maombiKuna mambo mengine hayatibiki mpaka akili kosa alilofanya kama kuna kitu alifanya.... ( mitego ya aina hii mara nyingi huoteshwa so ikikua ndo huleta madhara),
Ila kama hajafanya kosa, mungu ni mwema.. Afanye wepesi kijana apone haraka.
Nina mashaka na hapo wivu wa wenziye, apate bangili ya ayatul kursiyu 120,000/1Labda wenzie wanahusika
Hiyo inapatikana wapi na itamsaidia kupona kabisa?Nina mashaka na hapo wivu wa wenziye, apate bangili ya ayatul kursiyu 120,000/1
Pombe na bangiAnatumia kilevi gani...?
anavuta ila sidhani kama inahusikaBangi havhavuti
Pombe na bangi
Sidhani kama atakubaliAaache Bangi
Kwani na wewe unavutaga...?anavuta ila sidhani kama inahusika
Sawa mkuu ngoja tumuhangaikie akipona tutamshauri aache hivyo vileviAkiendelea kutumia hivyo vitu...atakuwa kichaa wa kufungwa kamba au wakuokota makopo kabisa...!
Sisi binaadam tumeumbwa tofauti linapokuja swala la kumudu kukaa na vilevi kichwani...kuna watu tunawajua bila pombe wala bangi aweZi kufanya kitu...lakini kuna wengine jamii ya huyo ndugu yako kichwa chake haki mudu kutumia kilevi chochote...!
Hakuna mganga atae weza kumtibu aka pona kama hato Acha pombe na bhangi...!
Ikotokea akatibiwa akapona akija anzwa tena anaokota makopo moja kwa moja...!
Fanyeni juu chini aache Bangi na pombe...!
Hapana sivutiKwani na wewe unavutaga...?
Hapana sivuti
Kwahiyo ishu hapo ni gharama za vipimoHuko mirembe si hadi mtu apimwe kwanza?
Dah! Hapo ndiyo mpaka apone sasa sasa hivi hajielewi kabisa ukiongea naye hayo mambo unakuwa unamchanganya kabisaNikajua unavuta ndio maana...hudhani kama ina husika...! Sio kila mtu kaumbiwa kutumia vilevi...! Wengine yawapasa vilevi viwapitie kushoto...!
Akiacha bhangi na pombe anapona kabisa...akiendelea atakuwa kichaa au ata jiua...!
Na hiyo sio kuwa atafanya kwa kupenda ni hicho kilevi ndio kitakacho mtuma...!
Inawezekana babu zenu waliwahi kuapizana kuhusiana na hizo pombe au bhangi....ebu fanya utafiti watu wanao tumia bhangi na pombe kwenye familia yenu wana hali gani kimaisha...!
🤣🤣🤣🤣Dah! Hapo ndiyo mpaka apone sasa sasa hivi hajielewi kabisa ukiongea naye hayo mambo unakuwa unamchanganya kabisa
Poleni sana,Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini.
Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi unampata hataki kula, hataki kukaa chini hadi alazimishwe, kuna siku alivua na nguo kabisa akaanza kwenda barabarani uchi, alimjeruhi baba
walivyopishana mlangoni bahati nzuri alichokuwa ameshika ilikuwa ni kijiko la sivyo tungesema mengine.
Sasa tulihangaika naye kwenye maombi huko anatulia akirudi nyumbani hali ni mbaya na kuna muda anasema asamehewe mara wamuache wasimuue, sasa anaowasema kuwa wanamfanyia hivyo eti baba na mama( mama huyu anayeishi na baba ni yule mama yangu wa kambo) nina uhakika baba yangu na mama huyu anayekaa naye hawana haya mambo ya uchawi kwanza wamroge ili iweje, ni kitu hakiwezekani.
Kuna Sheikh alikuja kumsomea dua na dawa za mitishamba kama wiki mbili ndiyo alitulia akaja akapona kabisa, akaendelea na shughuli zake, sasa hii juzi amepewa mkataba mpya na pikipiki mpya, hii hali imemuanza tena ninajiuliza ni nini kipo katikati ya hili jambo je, ni mikono ya watu au ni nini maana akienda hospitali hamna tatizo.
Naombeni wenye ujuzi kuhusu hili swala au msaada tumpeleke wapi ili hii hali isije kumrudia tena. Maana tunachanganyikiwa kabisa usipokuwa makini anaweza kumdhuru mtu au akakudhuru wewe mwenyewe hata majirani wakija kumuona hawakai kabisa wanamuogopa.