Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Complete violation of the constitution of URT.

👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga
20220606_124904.jpg
 
Complete violation of the constitution of URT.
👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga-Mohamed Mchengerwa https://t.co/xX4KTXeWzDView attachment 2252140
Party supremacy hangover!! This justifies the need for constitutional reform in Tz.
 
Complete violation of the constitution of URT.
👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga-Mohamed Mchengerwa https://t.co/xX4KTXeWzDView attachment 2252140
Ni uhuni mkubwa sn
 
Waweke na Sheria viwanja hivyo vitumike bila sharti lolote
Chadema cuf act na yoyote atumie kwa muda anaotaka, Kama si ivyo huu Ni wizi wa Mali ya umma Ni ufisadi wa mchana kweupe

Hivi ccm mna Nini nyinyi kila kitu mnataka nyinyi ,mnachukua ela za serikali kinyemela miaka yote hii, Leo mnapiga hadhalani

Kuweni na sura ya haya
 
Tatizo lako wewe mtumbafu unayejiita mpigwa kirungu ni kuwa hukuwahi kuhoji haya wakati baba yako akiwa kwenye jungu kuu la asali! Uliwahi kuhoji mikutano ya CCM kufanyikia ikulu enzi zile? Je, uliwahi kuhoji makada wa chama kuteuliwa MaDED na kauli za siwezi kukulipa mshahara utangaze mpinzani kashinda uchaguzi?
 
Nitoeni tongo tongo hapa, ina maana hivi viwanja vilijenga na ccm?
 
Back
Top Bottom