Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Tatizo lako wewe mtumbafu unayejiita mpigwa kirungu ni kuwa hukuwahi kuhoji haya wakati baba yako akiwa kwenye jungu kuu la asali! Uliwahi kuhoji mikutano ya CCM kufanyikia ikulu enzi zile? Je, uliwahi kuhoji makada wa chama kuteuliwa MaDED na kauli za siwezi kukulipa mshahara utangaze mpinzani kashinda uchaguzi?
Stupid madako
 
Umesahau na Bukoba wamezungushia fremu za maduka naelekea kuezeka nikajiuliza hela zimetoka wapi hizi za ghafla bin vuu!!
 
CCM haina viwanja wala ofisi.
Vyote vilipokonywa kutoka serikalini. Wakati wa chama na serikali ilikuwa kitu kimoja.
Baada ya vyama vingi CCM ilinyang'anya serikali vyote ikajimilikisha.

Hivyo chama kingine kikiingia madarakani vitarejeshwa nyumbani
 
Complete violation of the constitution of URT.
[emoji116]Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga-Mohamed Mchengerwa https://t.co/xX4KTXeWzDView attachment 2252140
Mkuu waache wavikarabati vitakuja kurudi serikalini ni suala la muda tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Namna katiba ilivyo, huwezi tenganisha CCM na serikali...

Ndio maana kuna wakati unapata katibu mkuu wa CCM anatoa amri kwa waziri au mkuu wa mkoa, utadhani huyo katibu ni mteule wa Rais...
 
Namna katiba ilivyo, huwezi tenganisha CCM na serikali...

Ndio maana kuna wakati unapata katibu mkuu wa CCM anatoa amri kwa waziri au mkuu wa mkoa, utadhani huyo katibu ni mteule wa Rais...
Sio kweli.
 
Back
Top Bottom