Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Nashauri nguvu ingeelekezwa kumalizia kile kiwanja kipya cha kisasa Dodoma.Hivi viwanja vikongwe wangewaachia majiji yenyewe yavirekebishe kwa bajeti zao za ndani.
 
Ndio lazima hata Machadema yalipe kodi kwa ajili ya sisi ccm kukarabati viwanja vyetu
 
Nashauri nguvu ingeelekezwa kumalizia kile kiwanja kipya cha kisasa Dodoma.Hivi viwanja vikongwe wangewaachia majiji yenyewe yavirekebishe kwa bajeti zao za ndani.
Wewe unaishi dunia gani! Viwanja vyote vya serikali CCM ilivichukua sasa majiji yatakarabati kwa kutumia fungu gani la pesa! Hawaruhusiwi.
 
CCM walitoa wapi hela za kujenga viwanja vyote hivyo?

Kama vilijengwa kwa kodi kuna ubaya gani vikibireshwa kwa kodi. CCM ikitoka vitarudi serikalini.
CCM inakusanya Mapato ya Viwanja hivyo Walipaswa wavirekebishe kwa Mapato hayo hayo kwani wanapeleka Wapi hayo Mapato?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom