Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Party supremacy hangover!! This justifies the need for constitutional reform in Tz.Complete violation of the constitution of URT.
👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga-Mohamed Mchengerwa https://t.co/xX4KTXeWzDView attachment 2252140
Huna elimuCCM walitoa wapi hela za kujenga viwanja vyote hivyo?
Kama vilijengwa kwa kodi kuna ubaya gani vikibireshwa kwa kodi. CCM ikitoka vitarudi serikalini.
Elimu yako ni duniMkuu mbona na wao wanaingia ama kuvitumia ilihali sio wanachama!?
Wanalipa hawatumii bureMkuu mbona na wao wanaingia ama kuvitumia ilihali sio wanachama!?
Ni uhuni mkubwa snComplete violation of the constitution of URT.
👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga-Mohamed Mchengerwa https://t.co/xX4KTXeWzDView attachment 2252140
CCM ni majangili tupuCCM walitoa wapi hela za kujenga viwanja vyote hivyo?
Kama vilijengwa kwa kodi kuna ubaya gani vikibireshwa kwa kodi. CCM ikitoka vitarudi serikalini.
CCM walitoa wapi hela za kujenga viwanja vyote hivyo?
Kama vilijengwa kwa kodi kuna ubaya gani vikibireshwa kwa kodi. CCM ikitoka vitarudi serikalini.
Ccm walitudhulumu hv viwanja ni Mali ya ummaCCM walitoa wapi hela za kujenga viwanja vyote hivyo?
Kama vilijengwa kwa kodi kuna ubaya gani vikibireshwa kwa kodi. CCM ikitoka vitarudi serikalini.
Wanalipa kiingilio kama ambavyo ukienda disko.Mkuu mbona na wao wanaingia ama kuvitumia ilihali sio wanachama!?