Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

Stupid madako
 
Umesahau na Bukoba wamezungushia fremu za maduka naelekea kuezeka nikajiuliza hela zimetoka wapi hizi za ghafla bin vuu!!
 
CCM haina viwanja wala ofisi.
Vyote vilipokonywa kutoka serikalini. Wakati wa chama na serikali ilikuwa kitu kimoja.
Baada ya vyama vingi CCM ilinyang'anya serikali vyote ikajimilikisha.

Hivyo chama kingine kikiingia madarakani vitarejeshwa nyumbani
 
Mkuu waache wavikarabati vitakuja kurudi serikalini ni suala la muda tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Namna katiba ilivyo, huwezi tenganisha CCM na serikali...

Ndio maana kuna wakati unapata katibu mkuu wa CCM anatoa amri kwa waziri au mkuu wa mkoa, utadhani huyo katibu ni mteule wa Rais...
 
Namna katiba ilivyo, huwezi tenganisha CCM na serikali...

Ndio maana kuna wakati unapata katibu mkuu wa CCM anatoa amri kwa waziri au mkuu wa mkoa, utadhani huyo katibu ni mteule wa Rais...
Sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…