FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mimi namjuwa zuchu na khadija kopa, dogo hilo?Lazima usiwajue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namjuwa zuchu na khadija kopa, dogo hilo?Lazima usiwajue
Ni muislam mwenzako huyo.Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.
Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.
Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.
Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.
Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Kuna uchafu zaidi ya CCM NA SA100 hapa tz 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.
Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.
Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.
Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.
Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Zuu ni Islamic....hata angekuwa mkristo....has the same reasonHili neno 'dini' umeliletaje hapa!?
How!?
Maadili Republic kumejaa Rushwa, ufisadi na uvivu. Tuanzie huko badala ya kujikita katika makalio ya Zuchu.Alo ukilitizama kwa mapana, masuala ya utandawazi na mitandao ya kijamii hili ni janga kweli.
Linahitaji ushilikiano, wasilaumiwe BASATA tu, zitumike njia za aina utofauti tofauti kulikabili hili suala, Itergrated Ethical Community Management System (IECMS), Yaani kila mtu/Taasisi itimize wajibu wake kuanzia ngazi ya familia.
SahihiHuu ni utashi wa mtu mwenyewe kama una akili fupi ndio atakuzuzua.
Ila nadhani hamna ushetani Nchi hii kama wachache kujimilikisha rasilimali za Nchi na kula keki peke yao.
Kama shida ni wowowo tutakuletea Posh Queen wa Harmonize.Kidemu chenyewe Zuchu mbele nyuma kunalingana, shapeless, figureless alafu anafanya uchafu mtupu
Hichi kitoto ni cha kupiga mawe tu kipeleke mambo yake kizimkazi huko tushachoka sie
Kwani ulilazimishwa kumfatilia mpaka uchoke? unajichosha kwa ujinga wako wa kufatilia maisha ya watu wengineHichi kitoto ni cha kupiga mawe tu kipeleke mambo yake kizimkazi huko tushachoka sie
Basata hapo hawatii neno, shida yao ukemee watu kutekwa na wasiojulikana watakushukia kama mwewe
Wanapenda pia kuangalia wanawake wa Kizulu wakicheza ngoma zao za asiliWakifanya wakina Beyonce mna furahia, ila akifanya Zuchu mnaita Basata, ebu tulia muda wa wakubwa huo
Naunga mkono hoja.
Sio kitoto, ni mtu mzimaHichi kitoto ni cha kupiga mawe tu kipeleke mambo yake kizimkazi huko tushachoka sie
Sio mtotoTumfanyeje huyu mtoto!?
Shetani...Shet'wan .....mnamsingizia....