Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Huu ni Ushetani. BASATA mko wapi!?

Hapo ni wazi kabisa waliofeli ni wazazi na BAKWATA siyo BASATA.

Huo ni mtazamo wangu binafsi kama Muislam, simwakilishi mtu au chombo kingine chochote.

Kwanini naiondolea lawama BASATA? kwa sababu BASATA ni chombo cha serikali pagani. Kumbuka kuwa serikali yetu ni pagani kwa maana haifati dini yoyote ile.

Kwa maana hiyo namuondolea lawama hata waziri husika.

Kwa bahatri mbaya au nzuri bakwata wanahusika na kusoma dua tu kwenye hafla za chama na serikali iliyopo madarakani, mengine ya mmaadili ya Kiislam hawana jukumu nayo na wala hawayafanyi.
Ni muislam mwenzako huyo.
 
Kuna uchafu zaidi ya CCM NA SA100 hapa tz 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Alo ukilitizama kwa mapana, masuala ya utandawazi na mitandao ya kijamii hili ni janga kweli.

Linahitaji ushilikiano, wasilaumiwe BASATA tu, zitumike njia za aina utofauti tofauti kulikabili hili suala, Itergrated Ethical Community Management System (IECMS), Yaani kila mtu/Taasisi itimize wajibu wake kuanzia ngazi ya familia.
Maadili Republic kumejaa Rushwa, ufisadi na uvivu. Tuanzie huko badala ya kujikita katika makalio ya Zuchu.
 
Wakifanya wakina Beyonce mna furahia, ila akifanya Zuchu mnaita Basata, ebu tulia muda wa wakubwa huo
Wanapenda pia kuangalia wanawake wa Kizulu wakicheza ngoma zao za asili
20241101_054520.jpg
 
Back
Top Bottom