warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hvi karibuni kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mastaa wameonekana wakimshauri wazi Wazi , msanii Diamond kurudi kwa mzazi mwenzie Zari , kwani wanawake wengi anaotoka nao bado hajawafikia hata robo ku fill gap ya zari .
Hivi karibuni shilole alimshauri Wazi diamond kuwa arudi kwa zari Kwan ndiye mwanamke anayemfaa, Mdaku nambar moja nae carry mastor ambaye Mara nyingi amekua akimponda zari wazi wazi nae alihojiwa akasema diamond hawez kupata mwanamke kama zari , yeye ndo anayemfaa, she is a package , Leo pia gigy money kwenye kipindi cha wasafi Tv ametamka Waz diamond arudiane na zari Kwan ndie mwanamke anayemfaa.
Hata hivyo Toka msanii hyo aachane na zari amekuwa akibadilisha wanawake hovyo, ni kama mtu aliyechanganyikiwa, yani analazimisha furaha
Sent from my iPhone using JamiiForums