Huu ni wakati rasmi wa Diamond kurudi kwa Zari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hvi karibuni kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mastaa wameonekana wakimshauri wazi Wazi , msanii Diamond kurudi kwa mzazi mwenzie Zari , kwani wanawake wengi anaotoka nao bado hajawafikia hata robo ku fill gap ya zari .

Hivi karibuni shilole alimshauri Wazi diamond kuwa arudi kwa zari Kwan ndiye mwanamke anayemfaa, Mdaku nambar moja nae carry mastor ambaye Mara nyingi amekua akimponda zari wazi wazi nae alihojiwa akasema diamond hawez kupata mwanamke kama zari , yeye ndo anayemfaa, she is a package , Leo pia gigy money kwenye kipindi cha wasafi Tv ametamka Waz diamond arudiane na zari Kwan ndie mwanamke anayemfaa.

Hata hivyo Toka msanii hyo aachane na zari amekuwa akibadilisha wanawake hovyo, ni kama mtu aliyechanganyikiwa, yani analazimisha furaha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbukumbu ya ua jeusi ni kesho..
Aende kwa Hamisa.. Zari hawezi kurudiana nae.. ana Kingbae full maraha

Diamond aendelee tu na apendayo kufanya ulikuwa uamuzi wake..

Tarehe 14 atatafutia kiki.. lolote atakalofanya kashazoeleka hatashtua anaonyesha 150% anammisi Zee.

Bora akazane na kazi ya mademu kadoda kipindi hiki.. wala hagombaniwi.. apoe kidogo
 
Hvi karibuni kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mastaa wameonekana wakimshauri wazi Wazi , msanii Diamond kurudi kwa mzazi mwenzie Zari , kwani wanawake wengi anaotoka nao bado hajawafikia hata robo ku fill gap ya zari .

Hivi karibuni shilole alimshauri Wazi diamond kuwa arudi kwa zari Kwan ndiye mwanamke anayemfaa, Mdaku nambar moja nae carry mastor ambaye Mara nyingi amekua akimponda zari wazi wazi nae alihojiwa akasema diamond hawez kupata mwanamke kama zari , yeye ndo anayemfaa, she is a package , Leo pia gigy money kwenye kipindi cha wasafi Tv ametamka Waz diamond arudiane na zari Kwan ndie mwanamke anayemfaa.

Hata hivyo Toka msanii hyo aachane na zari amekuwa akibadilisha wanawake hovyo, ni kama mtu aliyechanganyikiwa, yani analazimisha furaha

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hivi wewe unamuona Diamond yuko sawa kichwani? Zari ni mwanamke kamili na anayejitambua si hawa kina Wema sijuwi Hamisa au nani, wale wote Diamond alikuwa anawakanyaga tu kwa sababu ya nyege si mapenzi. Zari kwa jinsi anavyojitambua hawezi kamwe kumrudia Diamond kwani anamshusha hadhi. Jiulize, hata wewe uwe Zari na mkwanja wako wa kuaminika ya nini umrudie mwanamme asiyejitambua na anaanza kufifia kisanii?
 
Hivi mwanamke anayejitambua kama Zaei amrudie Diamond kwa msingi gani?
 
Hivi wewe unamuona Diamond yuko sawa kichwani? Zari ni mwanamke kamili na anayejitambua si hawa kina Wema sijuwi Hamisa au nani, wale wote Diamond alikuwa anawakanyaga tu kwa sababu ya nyege si mapenzi. Zari kwa jinsi anavyojitambua hawezi kamwe kumrudia Diamond kwani anamshusha hadhi. Jiulize, hata wewe uwe Zari na mkwanja wako wa kuaminika ya nini umrudie mwanamme asiyejitambua na anaanza kufifia kisanii?
Yes ni kweli zari Yuko vizuri lakini nafikiri mobetto alimuharibia diamond makusudi
 
Ukitaka ushauri kuhusu maisha yako ndio uwasikilize Gigy Money na Shilole?

Wale sio wanafiki, na hawaogopag kuongea ukweli , wasanii wengi wanafiki , wanamsema diamond pemben Ila hawawezi kumwambia, tale mwenyewe alienda kumwombea msamaha south , anajua umuhimu wake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waache unafiki hao wachawi...

Wamfuate ZARI kwanza South wakaombe maoni yake.

Hakuna anaejua nini kinafukuta kati ya Zari na Diamond

C umalaya , Kwan hujui diamond alichomfanyia zari ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwezi jua Mondi kakimbia nini, unaweza kumlaumu lkn mahusiano na ndoa zina siri nyingi, unaweza mlaumu mtu asiye na kosa kwani Zari nae CV yake ni mbovu mpaka alifikia hatua ya kusagana so huwezi jua Mondi kaona nini. Tusipende kujudge kwa kutumia hizi social network.
 
Back
Top Bottom