Huu ni wizi Sasa; Watanzania tuamke tuache uoga

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.

Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi Jumapili nimeweka na Leo nikatimiwa meseji kuwa bando langu limeisha; sikujali nikaamua kuweka Tena.

Kilichoniuma ni kupata bando la chini zaidi ya like nililo weka Jpili na kwa gharama ile Ile.

Watanzania ifike wakati tukatae kupandishiwa bei za bidhaa kiholela bila taarifa.

Kama ulaya wanaweza kuandamana kupinga vitu kupanda Bei sisi tunashindwa kwani.

Amkeni watanzania tuingie barabarani ili tukomeshe huu uhuni. Hawawezi kutuua white.
Uzalendo ni kulifia taifa lako

Screenshot_20221025-214150.png
Screenshot_20221025-214219.png

Njooni mniteke niko Mtwara.
 
TTCL rudi nyumbani kumenoga. Naishi interior ila nliamua kuirudia line yangu ya TTCL wako vizuri japo mtandao wao wa 3G na 4G unakata kata
NB: sijaangalia Porno. Isipokata nitawajuza waungwana
Hakuna kitu huko tangu Magu afe bass na huo mtandao umekufa yan nw day kifurush cha Tigo cha week ni sawa na TTCL 4.8 GB elf 10

Yan mpaka 2025 Kuna viumbe vitakuwa ni mabilionea wa kutupwa
 
Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.

Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi Jumapili nimeweka na Leo nikatimiwa meseji kuwa bando langu limeisha; sikujali nikaamua kuweka Tena.

Kilichoniuma ni kupata bando la chini zaidi ya like nililo weka Jpili na kwa gharama ile Ile.

Watanzania ifike wakati tukatae kupandishiwa bei za bidhaa kiholela bila taarifa.

Kama ulaya wanaweza kuandamana kupinga vitu kupanda Bei sisi tunashindwa kwani.

Amkeni watanzania tuingie barabarani ili tukomeshe huu uhuni. Hawawezi kutuua white.
Uzalendo ni kulifia taifa lako

View attachment 2397876View attachment 2397877

Njooni mniteke niko Mtwara.
Wanalamba asali.

Ktk eneo tunalopigwa ni kwenye hizi network services za mawasiliano.
 
Hakuna kitu huko tangu Magu afe bass na huo mtandao umekufa yan nw day kifurush cha Tigo cha week ni sawa na TTCL 4.8 GB elf 10

Yan mpaka 2025 Kuna viumbe vitakuwa ni mabilionea wa kutupwa
😅😅😅unaweza kupewa 4Gb lakini unajuaje kama ni yenyewe au imetumwa tu kwenye msg?
 
Suala la kunambia bando langu limeexpire wakati nishanunua bado si sawa hata kidogo.Unaniwekeaje limit ya muda wakati nishanunua?
 
Nimeachana nazo kama miezi 4 sasa baada ya kuona kona kona nyingi ,sasa nawekaga Voda elfu 3 kwa 1.7Gb au Halotel buku 5 2Gb
Hapa nilipo Nina halotel lakini hata kufungua page google chrome haifungui. Nimituma meseji Whatsapp inafika kesho yake.

Imagine kifurishi kinaisha usiku huu na gb zangu wanachukuahukua yaani hapa nashindwa nikimbilie wapi

Hivi Elon si atuletee Ile yake?
Screenshot_20221026-005811.png
 
Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.

Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi Jumapili nimeweka na Leo nikatimiwa meseji kuwa bando langu limeisha; sikujali nikaamua kuweka Tena.

Kilichoniuma ni kupata bando la chini zaidi ya like nililo weka Jpili na kwa gharama ile Ile.

Watanzania ifike wakati tukatae kupandishiwa bei za bidhaa kiholela bila taarifa.

Kama ulaya wanaweza kuandamana kupinga vitu kupanda Bei sisi tunashindwa kwani.

Amkeni watanzania tuingie barabarani ili tukomeshe huu uhuni. Hawawezi kutuua white.
Uzalendo ni kulifia taifa lako

View attachment 2397876View attachment 2397877

Njooni mniteke niko Mtwara.

Mimi nimekua napata gb 11 kwa elfu ishirini jana nimeoata tisa
 
Voda nao ni wezi wakubwa. Kila mara nikiingiza vocha ya sh 1000 naletewa ujumbe salio langu ni sh 800. Nikijiunga kifurushi cha 1000 ndani ya muda mfupi inafanikiwa Ila nikichelewa kidogo tu salio litakuwa halitoshi na linakuwa ni sh 800.
 
Hawa ni "mumiani" wahuni, mi nishachomoa line yao baada ya kutendewa kama unayoyasema.

Kidogo Voda sasa hivi bado wanaheshimu bando za wateja na pia wana unafuu kidogo kwa upande huo wa data, maana hiyo 3000 unapata 1.9 gb hadi siku ya jana, maana leo sijachungulia.

Halotel nao ni wezi, wanapitia salio hata kabla haujajiunga na bando lolote wakati kuna option tayari unakuwa umeweka kuzuia salio lisitumike bila ya kujiunga!

Kama ulivyokwisha kusema mkuu, nchi hii haina waziri wa nawasiliano na kana yupo ni kwa ajili ya maslah yake, raia hatuna tena wa kutusemea.

Ukipaza sauti kama hivi, atakurupuka kama anatokea bar na kukueleza: " mwenye malalamiko alete ushahidi", kauli ya waziri kamili hiyo, raia tusemeje ssasa kwa kauli kama hizo?

WaTz bado tuna safari ndefu sana kufikia maisha bora ya kuishi bila ya stress inayosababishwa na uwajibikaji mbovu wa viongozi wanaojiita watetezi wa wanyonge!
 
Voda nao ni wezi wakubwa. Kila mara nikiingiza vocha ya sh 1000 naletewa ujumbe salio langu ni sh 800. Nikijiunga kifurushi cha 1000 ndani ya muda mfupi inafanikiwa Ila nikichelewa kidogo tu salio litakuwa halitoshi na linakuwa ni sh 800.
Mkuu chunguza, kama ulishawahi "kugusa" haya matangazo yao yasiyoisha, sijui ofa za miziki na upatu, basi sababu itakuwa ni hiyo mpaka ujiondoe.

Mi nishablock hiyo namba yao iliyokuwa inaniletea hayo matangazo.

Sasa nikiweka salio hata wiki halipotei kama unavyoeleza.
 
Back
Top Bottom