Huu ni wizi Sasa; Watanzania tuamke tuache uoga

Huu ni wizi Sasa; Watanzania tuamke tuache uoga

Voda nao ni wezi wakubwa. Kila mara nikiingiza vocha ya sh 1000 naletewa ujumbe salio langu ni sh 800. Nikijiunga kifurushi cha 1000 ndani ya muda mfupi inafanikiwa Ila nikichelewa kidogo tu salio litakuwa halitoshi na linakuwa ni sh 800.

Hii kitu ilinitesa
Ila nna mwaka sasa sinunui vocha

Kila kitu namalizia M-pesa
 
Nimeachana nazo kama miezi 4 sasa baada ya kuona kona kona nyingi ,sasa nawekaga Voda elfu 3 kwa 1.7Gb au Halotel buku 5 2Gb
Nimechek na voda leo nmeona buku3 unapata 1.4Gb zishapunguzwa tena
 
Nimechek na voda leo nmeona buku3 unapata 1.4Gb zishapunguzwa tena
Hii Ofa wakiipunguza tena laini ya vida nitaisaliti kwa muda ,maana ilikuwa 2.2Gb wakashusha mpk 1.9Gb na sasa 1.7 ndani ya muda mfupi kabisa sidhani kama imepita mwaka.

Nimecheki now bado ipo unaingia kwenye ya kwako kisha Dar Supa Uni unabofya #more unaikuta mwishoni
IMG_20221026_091526.jpg
 
Mkuu chunguza, kama ulishawahi "kugusa" haya matangazo yao yasiyoisha, sijui ofa za miziki na upatu, basi sababu itakuwa ni hiyo mpaka ujiondoe.

Mi nishablock hiyo namba yao iliyokuwa inaniletea hayo matangazo.

Sasa nikiweka salio hata wiki halipotei kama unavyoeleza.
Mkuu hata mimi wananichezesha kamari ya mpira, kila nikiweka salio wanalamba na kuniwekea matokeo ya kubet wakati mimi sijaweka bet yoyote, ulifanyaje kujitoa kwenye hili....
 
Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.

Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi Jumapili nimeweka na Leo nikatimiwa meseji kuwa bando langu limeisha; sikujali nikaamua kuweka Tena.

Kilichoniuma ni kupata bando la chini zaidi ya like nililo weka Jpili na kwa gharama ile Ile.

Watanzania ifike wakati tukatae kupandishiwa bei za bidhaa kiholela bila taarifa.

Kama ulaya wanaweza kuandamana kupinga vitu kupanda Bei sisi tunashindwa kwani.

Amkeni watanzania tuingie barabarani ili tukomeshe huu uhuni. Hawawezi kutuua white.
Uzalendo ni kulifia taifa lako

View attachment 2397876View attachment 2397877

Njooni mniteke niko Mtwara.
Kwanza unatakiwa kujua bei elekezi kwa kila Mb 1 ni tshs?
Pili inabidi ujue icho unacholalamikia ni ofa au bei halisi inayotakiwa kuuzwa kwa kila Mb?
Bei elekezi kila MB 1 Isiuzwe zaidi ya tshs 3/=
 
Mkuu hata mimi wananichezesha kamari ya mpira, kila nikiweka salio wanalamba na kuniwekea matokeo ya kubet wakati mimi sijaweka bet yoyote, ulifanyaje kujitoa kwenye hili....
Angalia hizo msg kama zinaletwa kwa kutumia zile namba zao fupi, uiblock hiyo namba kwa njia ya kawaida.
Kama wanakuletea kwa kutumia Vodacom bila namba, nitakutumia utaratibu wa kujiondoa.
Nitakuelekeza baadae kdg nikitulia muda huu nipo mbarabara.
Ni washenz sana.
 
Hii Ofa wakiipunguza tena laini ya vida nitaisaliti kwa muda ,maana ilikuwa 2.2Gb wakashusha mpk 1.9Gb na sasa 1.7 ndani ya muda mfupi kabisa sidhani kama imepita mwaka.

Nimecheki now bado ipo unaingia kwenye ya kwako kisha Dar Supa Uni unabofya #more unaikuta mwishoni View attachment 2398179
Mimi napata 1.9 GB kwa Tsh.3000 VODA!!
A6E4334E-AC34-4F83-8A84-F1354F3AB5C5.jpeg
 
Nimepata 1.6Gb, thanks ila bado nmepunjwa daah [emoji1]
Mrembo.
Voda hutoa kifurushi kikubwa kwa mtumiaji mdogo yaani kama sio mnunuzi wa mara kwa mara au laini mpya unapewa kama motisha.
Watumiaji wakubwa bando ndogo
 
Haya ahsante kunijuza ngoja nibaki halotel wao ntawatembelea siku nyingine.
Mrembo.
Voda hutoa kifurushi kikubwa kwa mtumiaji mdogo yaani kama sio mnunuzi wa mara kwa mara au laini mpya unapewa kama motisha.
Watumiaji wakubwa bando ndogo
 
Back
Top Bottom