Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.
Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi Jumapili nimeweka na Leo nikatimiwa meseji kuwa bando langu limeisha; sikujali nikaamua kuweka Tena.
Kilichoniuma ni kupata bando la chini zaidi ya like nililo weka Jpili na kwa gharama ile Ile.
Watanzania ifike wakati tukatae kupandishiwa bei za bidhaa kiholela bila taarifa.
Kama ulaya wanaweza kuandamana kupinga vitu kupanda Bei sisi tunashindwa kwani.
Amkeni watanzania tuingie barabarani ili tukomeshe huu uhuni. Hawawezi kutuua white.
Uzalendo ni kulifia taifa lako
View attachment 2397876View attachment 2397877
Njooni mniteke niko Mtwara.
Hata mtandao wa voda wameondoa kile kifurushi cha dar supermini, kwa sasa kutumia internet imekuwa ni anasa ya wenye uwezo tuMara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.