Voda nao ni wezi wakubwa. Kila mara nikiingiza vocha ya sh 1000 naletewa ujumbe salio langu ni sh 800. Nikijiunga kifurushi cha 1000 ndani ya muda mfupi inafanikiwa Ila nikichelewa kidogo tu salio litakuwa halitoshi na linakuwa ni sh 800.
Dah.... Hayo makitu ni kwa ajili yenu mapaka au hata sisi binadamu?Mnaolalamika siku hizi kuna ISP wa fiber ZUKU
mtaani wanakuvutia pipe una enjoy kwa maisha mazuti kabisa.
Shida ni kwamba wengi tunakuwa mobile. Matumizi ya bundle mengi hayafanyiki ukiwa nyumbani.Mnaolalamika siku hizi kuna ISP wa fiber ZUKU
mtaani wanakuvutia pipe una enjoy kwa maisha mazuti kabisa.
Kwanza ilikuwa ni gb15 wakapunguza mpaka gb11 na jana gb9Mimi nimekua napata gb 11 kwa elfu ishirini jana nimeoata tisa
Nimechek na voda leo nmeona buku3 unapata 1.4Gb zishapunguzwa tenaNimeachana nazo kama miezi 4 sasa baada ya kuona kona kona nyingi ,sasa nawekaga Voda elfu 3 kwa 1.7Gb au Halotel buku 5 2Gb
Hii Ofa wakiipunguza tena laini ya vida nitaisaliti kwa muda ,maana ilikuwa 2.2Gb wakashusha mpk 1.9Gb na sasa 1.7 ndani ya muda mfupi kabisa sidhani kama imepita mwaka.Nimechek na voda leo nmeona buku3 unapata 1.4Gb zishapunguzwa tena
Mkuu hata mimi wananichezesha kamari ya mpira, kila nikiweka salio wanalamba na kuniwekea matokeo ya kubet wakati mimi sijaweka bet yoyote, ulifanyaje kujitoa kwenye hili....Mkuu chunguza, kama ulishawahi "kugusa" haya matangazo yao yasiyoisha, sijui ofa za miziki na upatu, basi sababu itakuwa ni hiyo mpaka ujiondoe.
Mi nishablock hiyo namba yao iliyokuwa inaniletea hayo matangazo.
Sasa nikiweka salio hata wiki halipotei kama unavyoeleza.
Kwanza unatakiwa kujua bei elekezi kwa kila Mb 1 ni tshs?Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga.
Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi Jumapili nimeweka na Leo nikatimiwa meseji kuwa bando langu limeisha; sikujali nikaamua kuweka Tena.
Kilichoniuma ni kupata bando la chini zaidi ya like nililo weka Jpili na kwa gharama ile Ile.
Watanzania ifike wakati tukatae kupandishiwa bei za bidhaa kiholela bila taarifa.
Kama ulaya wanaweza kuandamana kupinga vitu kupanda Bei sisi tunashindwa kwani.
Amkeni watanzania tuingie barabarani ili tukomeshe huu uhuni. Hawawezi kutuua white.
Uzalendo ni kulifia taifa lako
View attachment 2397876View attachment 2397877
Njooni mniteke niko Mtwara.
Angalia hizo msg kama zinaletwa kwa kutumia zile namba zao fupi, uiblock hiyo namba kwa njia ya kawaida.Mkuu hata mimi wananichezesha kamari ya mpira, kila nikiweka salio wanalamba na kuniwekea matokeo ya kubet wakati mimi sijaweka bet yoyote, ulifanyaje kujitoa kwenye hili....
Mimi napata 1.9GB VODA kwa Tsh.3000Nimechek na voda leo nmeona buku3 unapata 1.4Gb zishapunguzwa tena
Mimi napata 1.9 GB kwa Tsh.3000 VODA!!Hii Ofa wakiipunguza tena laini ya vida nitaisaliti kwa muda ,maana ilikuwa 2.2Gb wakashusha mpk 1.9Gb na sasa 1.7 ndani ya muda mfupi kabisa sidhani kama imepita mwaka.
Nimecheki now bado ipo unaingia kwenye ya kwako kisha Dar Supa Uni unabofya #more unaikuta mwishoni View attachment 2398179
Duh! Ngoja nipekue menu upya. Kuna sehemu naona bei sawa ila ujazo tofauti.Mimi napata 1.9GB VODA kwa Tsh.3000
View attachment 2398264
Ngoja nikuelekeze… Bongeza *149*03# kisha chagua no.2 (INTANETI). Nasubiria Shukrani zangu😉Duh! Ngoja nipekue menu upya. Kuna sehemu naona bei sawa ila ujazo tofauti.
Mi pia Airtel nimeweka pending nowdays!!!wengine halotelAirtel sio mtandao mimi ziliisha mb 500 kwa notifications za YouTube,Insta na wasap nikaitupa laini yenyewe chooni kabisa bora Voda linakaa kidogo.
Nimepata 1.6Gb, thanks ila bado nmepunjwa daah 😄Ngoja nikuelekeze… Bongeza *149*03# kisha chagua no.2 (INTANETI). Nasubiria Shukrani zangu😉
Bei huwa zinarifautiana kulingana na muda wa matumizi ya simcard yako.Mimi napata 1.9GB VODA kwa Tsh.3000
View attachment 2398264
Mrembo.Nimepata 1.6Gb, thanks ila bado nmepunjwa daah [emoji1]
Ni bei gani mkuu?Mnaolalamika siku hizi kuna ISP wa fiber ZUKU
mtaani wanakuvutia pipe una enjoy kwa maisha mazuti kabisa.
Mrembo.
Voda hutoa kifurushi kikubwa kwa mtumiaji mdogo yaani kama sio mnunuzi wa mara kwa mara au laini mpya unapewa kama motisha.
Watumiaji wakubwa bando ndogo