Intaneti ya Fiber ambayo ina spidi kuna vifurushi vya mwezi ni kama vifuatavyo;
Tsh 55k ni 10Mbps
Tsh 100k ni 20Mbps
Tsh 150k ni 30Mbps
Tsh 200k ni 50Mbps
Pia kuna intaneti ya Copper ambayo ni nafuu. Vifurushi ni kama ifuatavyo;
Tsh 25k ni 4Mbps
Tsh 50k ni 8Mbps
Tsh 80k ni 12Mbps
Mi huwa naona kama wanakomesha, bando gan kila siku zinashuka tu.
Mi ilikuwaga 50k 50gb...ila saiz 50k ni 24gb...
Alaf hii ni ndani ya mwaka maana yake bando lile lile la 50gb limepanda mpka 100k. Sasa hata kama ni costs inawezekana kweli zimejidouble mara mbili.
Mi nadhan kuna mahali kitu hakiko sawa.