Mitano tenaMimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Anajua akili za anaowahutubia zilivyo na reaction zao...matumizi ya akili 0%, matumizi ya hisia/mihemko 100%Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Hawa hawanagana akili kabisa hawa wajinga wajinga tuu na barakashea zao wanachonga midomo yao mireeeefu.Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Sasa mnafanana akili sasa akili utazitolea wapiUchocchezi gani kauleta hapo? Weka sawasawa akili zako, unatakiwa uwe na kichwa kipaaaana ktk kuyatafsiri mambo. I LOVE YOU
Ninakubaliana naye kabisaa... 💯💯💯Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Masheikh ubwabwa wameamua kurudia rudia uongo mara nyingi wakifikiri utageuka kuwa ukweli.Maaskofu kipindi cha Magufuli walitoa waraka mzito wa kuminywa demokrasia, hawa masheikh wa BAKWATA walikemea nini nchini?
Maaskofu walimgomea Magufuli waziwazi alipowalagahi watu kuwa nchini COVID hakuna, maaskofu wakasema unawezaje kusema COVID hakuna wakati Kanisa limepoteza watawa zaidi ya 60?- Hawa Masheikh wa BAKWATA walikuwa wapi kumconfront Magufuli kwa kukana uwepo wa COVID nchini?
Hawa masheikh wa BAKWATA ni reactionary , wanangoje maaskofu wafanye jambo ili wao wapate ajenda. Nadhani maaskofu wasikatishwe tamaa na hawa, bali waendelee kusimamia maslahi ya wananchi wa nchi hii.
No reform No electionMitano tena
Sheikh ubwabwa itakuwa alikuwa kwenye chungu wakati wakina Askofu Niwemugizi, Kakobe na padri Raymond Saba walipokuwa wanaambiwa sio raia na kupokonywa passports zao.Huyu Sheikh hana akili na anatumika na wapuuzi wa CCM kujaribu kuleta hisia za kidini.
Kila mtanzania mwenye akili anajua Maaskofu walimkosoa na kumpinga Magufuli waziwazi aliyekuwa mkristo na mkatoliki baada ya kukiuka misingi ya Utawala Bora na Haki za Binadamu.
Walimkosoa pia Waziwazi alipojaribu kusema hakuna Corona.
Huyu Sheikh ni mpuuzi na mpumbavu tu. Hiyo hela aliyopewa na CCM ili alete huo upuuzi airudishe tu.Sheikh ubwabwa itakuwa alikuwa kwenye chungu wakati wakina Askofu Niwemugizi, Kakobe na padri Raymond Saba walipokuwa wanaambiwa sio raia na kupokonywa passports zao.
Nimemshangaa Sana huyu jamaa. Uzuri kasifia utawala hamna tatizoHuyu anaongea vitu vya uongo, Nchi hii hakuna udini.
Zero brain!Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968