Ukikosa elimu lazima utatoa utumbo mbele za watu,
Kwa taarifa yako haya uliyoyasema ni akili zako tu na wala sio msimamo wa waislamu.Kwa taarifa yako huku mtaani tunakunywa nao, tunafanya biashara nao na wengine tunalala pamoja. Na sio hivyo tu wengine tumezaa nao. So huu uhayawani wako binafsi usiokua na research lazima tukupalimie. Ungekua na shule ya kutosha usingetoa uharo huu bali ungejibu hoja. Ni bora ungefunga domo lako na sio kutaka kutuchonganisha kwa unafiki maandazi. Tunashare vitu vingi sana makazini, misibani na maeneo mengine mengi, tusikulupuke. WATU MNAOKUJA NA HOJA ZA KUBUMBA TUMEWACHOKA. Watu wajibizane kwa hoja, huwezi kujibu funga bakuli lako. Msituchonganishe kwa vijihoja vya kuokoteza,
MASHIRIKIANO TULIYONAYO BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO NI MAKUBWA SANA. PERIOD