Maaskofu kipindi cha Magufuli walitoa waraka mzito wa kulaani kuminywa demokrasia nchini, hawa masheikh wa BAKWATA walikemea nini nchini?
Maaskofu walimgomea Magufuli waziwazi alipowalagahi watu kuwa nchini COVID hakuna, maaskofu wakasema unawezaje kusema COVID hakuna wakati Kanisa limepoteza watawa zaidi ya 60?- Hawa Masheikh wa BAKWATA walikuwa wapi kumconfront Magufuli kwa kukana uwepo wa COVID nchini?
Hawa masheikh wa BAKWATA ni reactionary , wanangoje maaskofu wafanye jambo ili wao wapate ajenda. Nadhani maaskofu wasikatishwe tamaa na hawa, bali waendelee kusimamia maslahi ya wananchi wa nchi hii.