Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Sheria ya kukariri maandishi ya wazungu ,haireflect na uhalisia ...Father Kitima ana PHD ya sheria huyu ana elimu gani ? Rais tuliye naye ameishia form four.
Sheria ya kukariri maandishi ya wazungu ,haireflect na uhalisia ...Father Kitima ana PHD ya sheria huyu ana elimu gani ? Rais tuliye naye ameishia form four.
Mimi naheshimu sana elimu ya darasani ila si kipimo sahihi cha kupima akili na uwezo wa kufikiri wa mtu, i have seen phd holders raping and doing very stupid things hata mtoto wa primary hawezi kufanyaFather Kitima ana PHD ya sheria huyu ana elimu gani ? Rais tuliye naye ameishia form four.
TakbirMimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Ninakubaliana naye kabisaa... 💯💯💯
Kama Wakristo hawakumkosoa na kumpinga Mkristo na Mkatoliki Magufuli ni kwanini Lissu alipigwa risasi nusura kuuliwa na ni kwanini Maaskofu Niwemugizi, Raymond, Kakobe, nk walisumbuliwa na kuambiwa siyo raia wa Tanzania, na ni kwanini Askofu Gwajima alibambikiwa kesi ya uongo ya mihadarati na akapelekwa kupimwa mkojo?!Kasema ukweli mbona, kipindi cha Magufuli hatukuskia mapadre na kofia zao kama ganda la chungwa wakiongea, na ndo kipindi matukio ya kinyama yalikua hadharani
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Tatizo la Waislamu wakipata nafasi ya juu ya uongozi wanataka kuweka maslahi ya dini yao kwenye Serikali wakati Katiba inasema Serikali haina dini. Tena masuala ya nchi wanayajadili misikitini. Kama Wakristo wangefanya hivyo, nawaambieni nchi hii isingekuwa hivi!Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Sheikh Ubwabwa kasahau kuwa watu kipindi hiki wametekwa na kuokotwa akiwemo Mwislam mwenzake Ally Kibao!Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Mwanaume kumwambia mwanaume mwenzake "I love u" ni dalili ya upinde.Uchocchezi gani kauleta hapo? Weka sawasawa akili zako, unatakiwa uwe na kichwa kipaaaana ktk kuyatafsiri mambo. I LOVE YOU
Kwa sababu hukutaka tu kusikia, uliamua kufunga masikio yako na bichwa lako.Kasema ukweli mbona, kipindi cha Magufuli hatukuskia mapadre na kofia zao kama ganda la chungwa wakiongea, na ndo kipindi matukio ya kinyama yalikua hadharani
Huyu ni mpumbavu kama wapumbavu wengine huko Bakwata njaa tu inamsumbua. Sheikh nchi hii ni Ponda tu na Shura ya Maimamamu.Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Uzuri wote tunajua kuwa Bakwata ni jumuia ndani ya CCM.Masheikh ubwabwa wameamua kurudia rudia uongo mara nyingi wakifikiri utageuka kuwa ukweli.
Kama hukusikia labda ulikuwa chooni unakunya.Kasema ukweli mbona, kipindi cha Magufuli hatukuskia mapadre na kofia zao kama ganda la chungwa wakiongea, na ndo kipindi matukio ya kinyama yalikua hadharani
Ma Padre wanaongoza kwa unafkiKwa sababu hukutaka tu kusikia, uliamua kufunga masikio yako na bichwa lako.
Mtu yoyote anaye amini uislamu ni dini ya Mungu mtakatifu awezi kuwa na akili timamu...sifa ya Muislamu wa hivuo ni kuweka UNAFIKI WA KIDINI SEHEMU YA KUWEKA UZALENDOMimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Waislam akili awana ndiyo maana mabeberu utamani Tanzania kuongoza na muislamu ili waendelee kutufanyia ufisadiMa Padre wanaongoza kwa unafki
Ni kweli shina lao ni Abraham. Lakini maneno kama haya hayafai kabisa katika nchi yetu. Tumpongeze na kumshauri Mama kwa yale anayoyafanya na si kwa dini yakeWaislamu na Wakristo shina lao ni Abraham