Huu sio uchochezi wa kidini wa wazi kabisa tena wa kiwango cha juu kabisa?

Elimu elimu elimu!
 
Elimu elimu elimu!
Niliona sehemu jamaa anasema, ukiruhusu elimu akhera ikutawale kichwani, unakuwa 100% irrational kwenye kila uhalisia wa maisha.

Nilidhani ni muda wa kuanza kuipambania dini na misingi yake, kisha kuivaa siasa boldly, vitu kama;
  • Kwao inaswii kuongozwa na mwanamke?
  • Wanayempambania ni kweli ana-fit kwenye imani yao.
  • Wanayo analysis ya kuonesha hakuna lolote analotuhumiwa nalo anahusika ama moja kwa moja au kupitia kwa?

Nchi iliyokuwa kama MAUA YA SAA 6 ni ipi?
Neema iliyoletwa na mama yao ni ipi?
 
Hapa issue siio Samia na Dini yake, hapa tunachodai ni REFORMS for God sake! Huyu Shehe ametoka wapi?!👇🤔
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Watu wanasahau kanuni kuu ya uongo! “Ukiwa muongo sharti uwe na kumbukumbu nzuri”

Hivi huyu sheikh hapa hakumbuki waraka wa pasaka enzi zile za Magu?

Vita ya askofu Niwemugizi na Magu au padre Saba na Magu, Mbona walimpinga na wakati Magu ni mkatoliki mwenzao?
 
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
ukweli ni jambo la maana sana aise,
hakuna udini wala uchochezi hapo gentleman
 
Acha kuhangaika na hao watoto wa mnyaazi "mungu" wengi wao akili zao zinatosha kwa matumizi yao tuu
 
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Hizi dini kumbe ziko kwa maslahi yao tu. Anakumbuka viroba tu vya enzi hizo lakini amesahau mengine
 
Na wengine walinyanganywa passport, hivi mashekhe wanakatazwa kusema pale wanapoona mabaya yanatendeka ktka nchi zao, au wao kila kitu ji sawa tuu, kiwe kibaya au kizuri ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…