Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,945
Mshenzi kama washenzi wengineMimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
View attachment 3337968
Huyu shehe ana elimu ya kufuga majini na ndio maana haoni haya kusema uongo.Father Kitima ana PHD ya sheria huyu ana elimu gani ? Rais tuliye naye ameishia form four.
Ukiangalia viongoziwa afrika tuko nyuma kwa sababu tuna viongozi wenye upepo kichwani. Angalia nchi yetu rais kasishia form fpur tuna wabunge wanajua kusoma na kuandika tu. Tutatoboa ndugu yangu ?Mimi naheshimu sana elimu ya darasani ila si kipimo sahihi cha kupima akili na uwezo wa kufikiri wa mtu, i have seen phd holders raping and doing very stupid things hata mtoto wa primary hawezi kufanya
Sikutaka kuweka neno kwenye mada hii kwa sasa, lakini maandishi yako haya yamenisukuma nifanye hivyo.Ukikosa elimu lazima utatoa utumbo mbele za watu,
Kwa taarifa yako haya uliyoyasema ni akili zako tu na wala sio msimamo wa waislamu.Kwa taarifa yako huku mtaani tunakunywa nao, tunafanya biashara nao na wengine tunalala pamoja. Na sio hivyo tu wengine tumezaa nao. So huu uhayawani wako binafsi usiokua na research lazima tukupalimie. Ungekua na shule ya kutosha usingetoa uharo huu bali ungejibu hoja. Ni bora ungefunga domo lako na sio kutaka kutuchonganisha kwa unafiki maandazi. Tunashare vitu vingi sana makazini, misibani na maeneo mengine mengi, tusikulupuke. WATU MNAOKUJA NA HOJA ZA KUBUMBA TUMEWACHOKA. Watu wajibizane kwa hoja, huwezi kujibu funga bakuli lako. Msituchonganishe kwa vijihoja vya kuokoteza,
MASHIRIKIANO TULIYONAYO BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO NI MAKUBWA SANA. PERIOD