Amepona huyo? Kifafa ugonjwa mbaya sana.
KwishaHuyu atakuwa alipata tatizo la moyo! Hopefully yuko sawa!
Amepona huyo? Kifafa ugonjwa mbaya sana.
Tolerance & endurance kwa wanawake si sawa na wanaume.Itafutwe namna ya kuwafanya wasichoke sana miili na akili kwa kupewa muda mchache wa zamu.Flora vs Masculinity.Amepona huyo? Kifafa ugonjwa mbaya sana.
Kuanguka huko ni kama fahamu za mwili zimepigwa ganzi, hapo kuna tatizo.
Aliyeanguka ni mwanaume.Tolerance & endurance kwa wanawake si sawa na wanaume.Itafutwe namna ya kuwafanya wasichoke sana miili na akili kwa kupewa muda mchache wa zamu.Flora vs Masculine.
Oooohooo...macho yangu hayaoni vema kwa kunywa gongo kwenye bakuli.Aliyeanguka ni mwanaume.
Mbona hata wewe ulifurahiKuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
Mimi nimekuacha.🤣🤣🤣🤣🤣❤️🇹🇿