Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,898
- 9,809
Maana ya u*ole ni kuanguka wengi.nimtu wa mbeya au
Maana ya u*ole ni kuanguka wengi.nimtu wa mbeya au
Katika harakati za kutakata. Mbwa wengi iringa wasitembee na minofu.Jmos na jpil iringa
Kufurahia mwingine kuangula ni matokeo ya yaliyotokea kabla..!!!Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Mbona anaanguka kama gunia la mahindiKuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Hiyo Sio Hali ya kawaida,kudondoka vile kama kitu kisicho na uhali,ili Hali upo kwenye Movement!!Mbona kama kaanguka isivyo kawaida 🤔
mbona hamna mtu aliyecheka wala kufurahi, unawazushia watanzania, hakuna mtanzania mwenye roho mbaya, angalia hata comments hakuna aliyekeheli wala kucheka, wew hapo tuu labda. sasa kuna nini cha kucheka hasa hapoKuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Ukiona maoni ya wananchi kwenye hii ajali hayo ya mlinzi cha mtotoKuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Si angeanguka raisi kabisa ili tufurahie zaidiKuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Umenikumbusha ule mweleka wa JK wakati anamalizia kampeni pale Jangwani..!!! Ni kama alitumbukia ardhini vilee..!!Si angeanguka raisi kabisa ili tufurahie zaidi
Huyu akided itakua vyemaUmenikumbusha ule mweleka wa JK wakati anamalizia kampeni pale Jangwani..!!! Ni kama alitumbukia ardhini vilee..!!
![]()
Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika
Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...www.jamiiforums.com
Nakubaliana na kuwa si vizuri kufurahia maumivu ya wengine. Hata hivyo, watu wana haki ya kuonesha hisia zao. Kuanguka tu si kitu cha ajabu na si ajabu watu kucheka na kushangilia.Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101