Huu sio ustaarabu . Mnafurahia na kuchekelea mlinzi wa rais kuanguka!

Huu sio ustaarabu . Mnafurahia na kuchekelea mlinzi wa rais kuanguka!

Umenikumbusha ule mweleka wa JK wakati anamalizia kampeni pale Jangwani..!!! Ni kama alitumbukia ardhini vilee..!!

Ndiyo maana juzi alisema wachawi washakufa,watu waliitaka nafasi,walitaka mchakato uanze upya(mkwere awamu moja inamtosha)
 
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini

Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri

Chuki za kisiasa zimekithiri!?

View attachment 3465101
Angeanguka RAISI mwenyewe tungefurahi zaidi ili ipepee NUSU MLINGOTI kwa siku kadhaa
 
Mambo yasiyo ya kistarabu huwa ni mengi sana hapa kwetu tz, ukiacha hili la mlinzi kuanguka
 
Kuanguka kwa mlinzi wa Raisi ni Ujumbe wa Mungu kwamba Raisi anaondolewa Mlinzi na lazima na yeye aanguke tu huko mbele ya safari. Ndio ujumbe huo kwa tafsiri ya imani...
 
Ipo video nyingine ya gari la msafara wa Rais linaanguka jana. Hilda Newton anasema tuzidishe maombi ili Samia apate balaa zaidi.
 
Back
Top Bottom