Huu sio ustaarabu . Mnafurahia na kuchekelea mlinzi wa rais kuanguka!

Huu sio ustaarabu . Mnafurahia na kuchekelea mlinzi wa rais kuanguka!

Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini

Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri

Chuki za kisiasa zimekithiri!?

View attachment 3465101
Binafsi siyo askali, ila nikikaa kwenye utulivu Huwa nawaonea sana huruma askari, ukute amejisikia ovyo mda mrefu ila hata asisikilizwe,

Huyu ni wa pili kupoteza fahama nyuma ya presidaa, wa kwanza alikuwa yule mdada, Mungu ampe afya njema ! Kiapo ni mzigo sometime
 
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini

Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri

Chuki za kisiasa zimekithiri!?

View attachment 3465101

Mtu mpaka unafikia hatua ya kupoteza fahamu na kuanguka vibaya kiasi hiki ni kutokana na kuogopa kutoa taarifa juu ya hali yako ya kiafya! Au ndiyo kusema ukitoa taarifa ya kutojisikia vizuri utaonekana mzembe/mvivu/unadeka/unaogopa nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine na hivyo kujikuta unapishana na gari la mshahara!
 
Mtu mpaka unafikia hatua ya kupoteza fahamu na kuanguka vibaya kiasi hiki ni kutokana na kuogopa kutoa taarifa juu ya hali yako! Au ndiyo kusema ukitoa taarifa ya kutojisikia vizuri utaonekana mzembe/mvivu/unadeka/unaogopa nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine na hivyo kujikuta unapishana na gari la mshahara!
Uoga kazini.
 
Wengine Wanaumwa Tu maradhi, kazi ya ulinzi ukishaanza kuwa na stress au overthinking kwenye majukumu mwili utaanza kukukataa...Na mambo yetu mengi yanakwenda kimazoea hivyo ni hatari Sana.
 
Kucheka nikucheka tu hata wewe ukianguka watu watacheka huo ustaarabu unaoutaka ni ajili ya mlinzi wa rais? Huyo raisi yeye anasemaje kwan?
 
Umeajaribu pia kuifikiria familia ya mzee Kibao ambayo baba yao alitobolewa macho na wakaambiwa kifo ni kifo wasizue taharuki ?

Siku 3 zijazo unatimia mwaka baba yao alipotobolewa macho na kumwagiwa tindikali akiwa safarini umejaribu kufikiria yule mjuu aliyekuwa akimbeba ameambiwa nini ambavyo hamuoni babu yake akirudi nyumbani na kumbeba?


View: https://x.com/AliKibao/status/1849742292258639924?t=wuyqqerWM22IvZ65SAqUHg&s=19.
 
Back
Top Bottom