Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Kesho u*ole 🤣🤣🤣🤣Mlinzi anaonekana hakupata usingizi wa kutosha au hajala chakula au ana shida ya sukari au presha
Mungu ansaidie apone kwakuwa familia yake inamtegemea
nimtu wa mbeya auKesho u*ole 🤣🤣🤣🤣
Binafsi siyo askali, ila nikikaa kwenye utulivu Huwa nawaonea sana huruma askari, ukute amejisikia ovyo mda mrefu ila hata asisikilizwe,Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Uoga kazini.Mtu mpaka unafikia hatua ya kupoteza fahamu na kuanguka vibaya kiasi hiki ni kutokana na kuogopa kutoa taarifa juu ya hali yako! Au ndiyo kusema ukitoa taarifa ya kutojisikia vizuri utaonekana mzembe/mvivu/unadeka/unaogopa nafasi yako itachukuliwa na mtu mwingine na hivyo kujikuta unapishana na gari la mshahara!
Mbona kama kaanguka isivyo kawaida 🤔Kuna video yaani picha mjongeo ikimuonyesha mlinzi wa rais akianguka na kupiga kichwa chini
Jambo la ajabu watu wanafurahia mitandaoni kana kwamba ni jambo zuri
Chuki za kisiasa zimekithiri!?
View attachment 3465101
Jmos na jpil iringaKesho u*ole 🤣🤣🤣🤣