Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

Hii hapa..
 
Attachments

  • Screenshot_20240417_234645_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20240417_234645_Opera Mini.jpg
    609.4 KB · Views: 11
Hii hapa..
Batholin cyst mara nyingi huja Mfumo wa Jipu na ikitokea Lazima aione hiyo haina haja ya kuingiza Kidole inakuja mfano wa Jipu kabisa na Drainage yake ni sawa na Jipu tu haina tofauti..

Na kama Akitaka kuhakikisha kama ni cyst ya bartholin ni simple Ajichunguze na afikirie Mfano wa Saa na aangalie mara nyingi inatokea upande wa chini kulia kwenye 4 o'clock na 8 o'clock kwa upande wa Kushoto chini..wa Uke na mara nyingi lazima Ibinue Labia kwahyo kuonekana huwa Si mpaka uingize kidole
 
Hio duration pekee ya 6 month si inaweza ku rule out Cyst chief..?
 
Yeah ni kweli kabisa maana Cyst ikikaa mwezi tu inaweza ikapasuka Yenyewe ikawa inadischarge pus au ikaresolve lakini sidhani kama kuna mtu atawza kufikisha wiki hata mbili akiwa nayo Maana 😀😀
Ule ni motp mwimgine kwa kina dada
 
Exactly, Huyo akafanye Papa Nicolau smear test mapema, na tests zingine.
 
AmKATRINA unakaa miezi 6 na ugonjwa ambao huuelewi ukeni kweli..??
Namna kuna magonjwa mengi mno sikuhizi na yanatisha hasa, how can you be comfortable and neglect that..??
Yan hapo na mimi nimeshangaa dogo, 6 months??? Is too long.
Mimi niki experience something strange mwilini au akilini nitakipa siku 3 tu kabla sijakichukulia serious measures.
AmKATRINA nenda uwaone wataalam haraka sana
 
Back
Top Bottom