Ushauri wa kijinga sana huu....kwani hospitali hajaziona akaamua kuja hapa?
Kwani nani hajui akiumwa anatakiwa kwenda hospitali? Yeye kaleta hapa toa jibu la kitaalamu kama uliishia la saba B kaa kimya.Swala la uvimbe anatakiwa kwenda hospitali sio mitandao. Hata sio mawazo ya chakula bali mtu kavimba wazo la msingi hapa ni kwenda hospitali
Nimeshajua unacho waza...๐คฃ..... ebu kwanza bembeleza binti asinzie ndipo urudi kusema neno...๐Mmmh
Kwa maelezo hayo siwezi kusema chochote maana itakuwa ni sawa na kupiga Ramli
Batholin cyst mara nyingi huja Mfumo wa Jipu na ikitokea Lazima aione hiyo haina haja ya kuingiza Kidole inakuja mfano wa Jipu kabisa na Drainage yake ni sawa na Jipu tu haina tofauti..Hii hapa..
Ila wewe jamani, hahaKumbe wahenga waongo si walisema โKipele kimepata mkunajiโ sasa mbona ww unakunwa unasikia uchungu tenah..!!!??
Hio duration pekee ya 6 month si inaweza ku rule out Cyst chief..?Batholin cyst mara nyingi huja Mfumo wa Jipu na ikitokea Lazima aione hiyo haina haja ya kuingiza Kidole inakuja mfano wa Jipu kabisa na Drainage yake ni sawa na Jipu tu haina tofauti..
Na kama Akitaka kuhakikisha kama ni cyst ya bartholin ni simple Ajichunguze na afikirie Mfano wa Saa na aangalie mara nyingi inatokea upande wa chini kulia kwenye 4 o'clock na 8 o'clock kwa upande wa Kushoto chini..wa Uke na mara nyingi lazima Ibinue Labia kwahyo kuonekana huwa Si mpaka uingize kidole
Yeah ni kweli kabisa maana Cyst ikikaa mwezi tu inaweza ikapasuka Yenyewe ikawa inadischarge pus au ikaresolve lakini sidhani kama kuna mtu atawza kufikisha wiki hata mbili akiwa nayo Maana ๐๐Hio duration pekee ya 6 month si inaweza ku rule out Cyst chief..?
Exactly, Huyo akafanye Papa Nicolau smear test mapema, na tests zingine.Yeah ni kweli kabisa maana Cyst ikikaa mwezi tu inaweza ikapasuka Yenyewe ikawa inadischarge pus au ikaresolve lakini sidhani kama kuna mtu atawza kufikisha wiki hata mbili akiwa nayo Maana ๐๐
Ule ni motp mwimgine kwa kina dada
unajua dhambi zako usinishirikishe namimi tafadhal ๐๐๐๐พ๐๐พNimeshajua unacho waza...๐คฃ..... ebu kwanza bembeleza binti asinzie ndipo urudi kusema neno...๐
๐๐๐๐HamkosekanagiPole sana mkuu. Uzi huu usindikizwe na picha iwasaidie wataalam kufanya diagnosis
Yan hapo na mimi nimeshangaa dogo, 6 months??? Is too long.AmKATRINA unakaa miezi 6 na ugonjwa ambao huuelewi ukeni kweli..??
Namna kuna magonjwa mengi mno sikuhizi na yanatisha hasa, how can you be comfortable and neglect that..??
Wanakiukaje..?Pole mrembo, wahi kwa wataalamu wa afya ya uzazi usiwaogope japo wengi wanakiuka maadili ya kazi zao