Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

Hapo nimekuelewa vizuri vipi Mr alikua anapiga deki na kuzamia mpaka uvinza?
 
Usihofu iyo ni G spot

Comment kutoka kwa daktari wa mapenzi
 
Na nilipouliza kwa nini kiliota wakasema huwa inatokea sana pale unapotumia haya madawa ya kubana uke (na nilikuwa nayatumia sana)
Kwani ulivojifungua palibaki hivo hivo au ulikuwa unaubana kwanini?
 
Vizuri na Hongera pia kwa kuvuka changamoto
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…