KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 857
- 1,727
- Thread starter
- #41
Aha kumbe na wewe ulikuwa na Gastritis, ulipima kwa kutumia kipimo gani mkuu na ulikuwa una umwa Gastritis level gani ?Hiyo Gastritis...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha kumbe na wewe ulikuwa na Gastritis, ulipima kwa kutumia kipimo gani mkuu na ulikuwa una umwa Gastritis level gani ?Hiyo Gastritis...
Kanisa la wapi hilo MariahMimi Io siku kwenye Mkutano tuliombewa then mwinjilisti akasema Kila mtu afanye Kila kitu ambacho alikua hawez kufanya...Kuna watu walitembea wengine waliona wengine walisikia Io siku nlivofika nyumbani nlikula wali na mchuzi sikuumwa tumbo kbs mana nlikua siwez kunywa michuz ya nyanya
Nime kutumia meseji inbox mkuu, naomba angalia tafadhali.Mkuu pole sana,mimi huo ugonjwa kwa mwaka 2016-2020 umenitembeza sana hospital,ndanda hospital,(mtwara) baada ya kupewa referral kutoka Liwale-Lindi,ndanda walishindwa, ni kaandikiwa kwenda Mhimbili huko nilibainika kuwa na ugonjwa /tatizo kama lako,nilipewa dawa nyingi sana,zingine zilitaka kuniua.
Tatizo halikusha,ikabinNime ku PMdi niende aghakani hospital,wapi,nikaenda hindu mandal-Mwanza wapi,nikaenda bugando hospital nikakutana na Doctor majimbe, niseme huyu ndo alikuwa chanzo cha mimi kupata nafuu,alinishauri kuhusu lishe,kula kwa wakati, sikupewa dawa nyingi sana ,pia alinikataza kunywa soda,kula maharage,maziwa,ndizi kwa namna zake,sukari nyingi kupita kiasi,pia kutoruhu hasira na huzuni ndani ya moyo wangu.
Baadae tatizo lilirudi tena,nikakutana na mtu akanishauri nitumie mlonge,ikumbukwe kwa wakati huo,nilizuiliwa kunywa soda, ndizi hapana,mboga iliyoungwa kwa viungo vingi hasa nyanya hapana,maharage, dagaa ,chakula kilicho lala nk.baada ya kutumia mlonge wa kununua kwa mwezi mzima nikianza kupata nafuu,nikaamua kuupanda huu mti nyumbani kwangu,nikaendeleza doazi kwa miezi miwili mfululizo ,hiyo ilikuwa kwaka 2021.
Baada ya hapo nikaanza kula maharage,maziwa nakunywa soda,dagaa nakula bila shida nk.
Ushauri wangu ni kuwa utashauriwa kuuziwa madawa mengi sana ya kienyeji lakini ni bure maana yanaweza kukuletea shida nyingine,hivyo mmea ambao madhara yake hayajathibitishwa kisayansi,kwani hata hao wanasansi wana usifu hadi sasa ni mlonge ,utumie huu mmea uone ,naimani utapona kabisa.
Mimi sasa nakula kila kitu ambapo hapo awali nilizuiliwa
Nime kutumia message private mkuu, naomba iangalieHiyo Gastritis...
Naomba angalia message private mkuuu nime kutumia meseji tafadhali.Hizo kokwa achana nazo ni uhuni tu,mlonge umenisaidia,parambannda lingeshapigwa kwangu,tia kijiko kimoja cha chakula kwenye maji ya moto kikombe cha chai,acha yapoe kisha kunywa,kutwa mara tatu,ni majani ya mlonge ,endelea na dozi hadi pale utakapoona nafuu,
Ukizembea hata shemeji atakukimbia maana jogoo huwa anaishiwa nguvu,nguvu za kiume kwa mwanamme ziko tumboni,huwezi fanya kazi ikiwa tumbo lako si salama
Maziwa unakunywa?Nashindwa hata kutoka kutafuta kipato maana tumbo lauma sana, mithili ya kukwangua ndani tumboni. Siwezi lala kwa tumbo maana nikifanya hivyo ni kama nachokoza tumbo, nitashikwa na kuzunguzungu sana, na mikono na miguu kufa ganzi, pamoja na maumivu ya tumbo lenyewe.
Tafadhali, naombeni msaada ndugu zangu ili nami nipone. Ninapoandika haya, nahisi kutaka kulia, maana maumivu siyo poa, na ni kila siku.
Mkuu ilikua ni kwenye ule Mkutano wa Daniela kolenda darKanisa la wapi hilo Mariah
Tumia dawa za mitishamba dogo mi niliumwa sana huu ugonjwa 2020 ila niliponea kwenye mitishamba na vitunguu saumuHabarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu, mikono na miguu kufa ganzi, kuhisi kiwewe au kuchanganyikiwa, kichefuchefu, kuchoka sana, na kuhisi kutapika. Nilipima vipimo vingi, ikiwa ni pamoja na typhoid, malaria, H. pylori, lakini majibu yakatoka hasi. Hata hivyo, kipimo cha endoscopy kilionyesha kuwa nina Gastritis.
Tangu hapo, mpaka leo hii, sasa inakwenda mwaka mmoja tangu niende Regency Hospital, bado nina sumbuliwa sana na ugonjwa wa Gastritis. Walinipa dawa aina ya kupunguza acid au antacid, kama vile Pantonex 40mg, box 3 nitumie kwa miezi 3 mfululizo, na dawa nyingine kama maziwa, kama Relcer Gel.
Dawa hizi zinatuliza maumivu, lakini hazijaweza kumaliza tatizo kabisa mpaka sasa. Naomba msaada wenu ikiwa kuna dawa nyingine naweza kutumia kumaliza kabisa shida hii.
Kuhusu vyakula, nina jitahidi sana kutokula vyakula vyenye acid. Chakula changu kikubwa ni ugali mlenda au mchicha, na wali pia nakula japo mara moja moja.
View attachment 2862416
Ninaomba pia kujua kutoka kwa wale ambao waliwahi kuugua ugonjwa huu na kupona, walitumia dawa gani au njia gani mpaka kupona. Nashindwa hata kutoka kutafuta kipato maana tumbo lauma sana, mithili ya kukwangua ndani tumboni. Siwezi lala kwa tumbo maana nikifanya hivyo ni kama nachokoza tumbo, nitashikwa na kuzunguzungu sana, na mikono na miguu kufa ganzi, pamoja na maumivu ya tumbo lenyewe.
Tafadhali, naombeni msaada ndugu zangu ili nami nipone. Ninapoandika haya, nahisi kutaka kulia, maana maumivu siyo poa, na ni kila siku.
Asanteni kwa kusoma ujumbe wangu.
Mitishamba aina gani Mkuu ?!Tumia dawa za mitishamba dogo mi niliumwa sana huu ugonjwa 2020 ila niliponea kwenye mitishamba na vitunguu saumu
Hapo sasa ndo changamoto mi sikumbuki ila ni longtime Arusha huko ilikuwa inauzwa na wamaasai.Mitishamba aina gani Mkuu ?!
Gastritis ni mbaya kuliko hata vidonda vya tumbo aisee.Hapo sasa ndo changamoto mi sikumbuki ila ni longtime Arusha huko ilikuwa inauzwa na wamaasai.
Dawa za hospital jau hazitibu zinapooza tu
Kwanini una uliza hivo mkuu ?!Sasa hivi unasimamisha kweli? Pole Sana lakini
Sawa Mkuu nime kuelewa.Maziwa unakunywa?
Usinipuuze hilo swali lizingatie maana ndio nimekutajia Dawa ya asili yenyewe, sasa km haunywi anza kutumia maziwa namaanisha maziwa fresh ya ng'ombe kunywa Lita 1 au 2 kila siku utapata nafuu usisahau kutumia asali Ila kiwango kidogo
Nakula punje 6 nikiamka kabla ya kupiga mswaki.Gastritis ni mbaya kuliko hata vidonda vya tumbo aisee.
Kuhusu vitunguu swaumu ulikuwa una tumiaje hiyo dozi yake ?!
Sema ww huwa una maswali ya ajabu ww Mungu anakuona ujue. 😁Sasa hivi unasimamisha kweli? Pole Sana lakini
Ulikuwa unatumia unga wa mizizi au majani yake, au kutafuna mbegu?Mkuu pole sana,mimi huo ugonjwa kwa mwaka 2016-2020 umenitembeza sana hospital,ndanda hospital,(mtwara) baada ya kupewa referral kutoka Liwale-Lindi,ndanda walishindwa, ni kaandikiwa kwenda Mhimbili huko nilibainika kuwa na ugonjwa /tatizo kama lako,nilipewa dawa nyingi sana,zingine zilitaka kuniua.
Tatizo halikusha,ikabindi niende aghakani hospital,wapi,nikaenda hindu mandal-Mwanza wapi,nikaenda bugando hospital nikakutana na Doctor majimbe, niseme huyu ndo alikuwa chanzo cha mimi kupata nafuu,alinishauri kuhusu lishe,kula kwa wakati, sikupewa dawa nyingi sana ,pia alinikataza kunywa soda,kula maharage,maziwa,ndizi kwa namna zake,sukari nyingi kupita kiasi,pia kutoruhu hasira na huzuni ndani ya moyo wangu.
Baadae tatizo lilirudi tena,nikakutana na mtu akanishauri nitumie mlonge,ikumbukwe kwa wakati huo,nilizuiliwa kunywa soda, ndizi hapana,mboga iliyoungwa kwa viungo vingi hasa nyanya hapana,maharage, dagaa ,chakula kilicho lala nk.baada ya kutumia mlonge wa kununua kwa mwezi mzima nikianza kupata nafuu,nikaamua kuupanda huu mti nyumbani kwangu,nikaendeleza doazi kwa miezi miwili mfululizo ,hiyo ilikuwa kwaka 2021.
Baada ya hapo nikaanza kula maharage,maziwa nakunywa soda,dagaa nakula bila shida nk.
Ushauri wangu ni kuwa utashauriwa kuuziwa madawa mengi sana ya kienyeji lakini ni bure maana yanaweza kukuletea shida nyingine,hivyo mmea ambao madhara yake hayajathibitishwa kisayansi,kwani hata hao wanasansi wana usifu hadi sasa ni mlonge ,utumie huu mmea uone ,naimani utapona kabisa.
Mimi sasa nakula kila kitu ambapo hapo awali nilizuiliwa
Si nataka nimsaidie jamani.Sema ww huwa una maswali ya ajabu ww Mungu anakuona ujue. 😁