Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

Mimi Io siku kwenye Mkutano tuliombewa then mwinjilisti akasema Kila mtu afanye Kila kitu ambacho alikua hawez kufanya...Kuna watu walitembea wengine waliona wengine walisikia Io siku nlivofika nyumbani nlikula wali na mchuzi sikuumwa tumbo kbs mana nlikua siwez kunywa michuz ya nyanya
 
Kanisa la wapi hilo Mariah
 
Nime kutumia meseji inbox mkuu, naomba angalia tafadhali.
 
Naomba angalia message private mkuuu nime kutumia meseji tafadhali.
 
Maziwa unakunywa?

Usinipuuze hilo swali lizingatie maana ndio nimekutajia Dawa ya asili yenyewe, sasa km haunywi anza kutumia maziwa namaanisha maziwa fresh ya ng'ombe kunywa Lita 1 au 2 kila siku utapata nafuu usisahau kutumia asali Ila kiwango kidogo
 
Tumia dawa za mitishamba dogo mi niliumwa sana huu ugonjwa 2020 ila niliponea kwenye mitishamba na vitunguu saumu
 
Hapo sasa ndo changamoto mi sikumbuki ila ni longtime Arusha huko ilikuwa inauzwa na wamaasai.

Dawa za hospital jau hazitibu zinapooza tu
Gastritis ni mbaya kuliko hata vidonda vya tumbo aisee.
Kuhusu vitunguu swaumu ulikuwa una tumiaje hiyo dozi yake ?!
 
Sawa Mkuu nime kuelewa.
 
Ulikuwa unatumia unga wa mizizi au majani yake, au kutafuna mbegu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…