Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

Ushauri umenyoooka,
 
Habari wadau, naomba mwenye kujua ugonjwa wa gastritis aniambie alipataje tiba akapona kabisa.
 
Anza kula ugali wa mhogo badalanya dona na sembe,acha au ounguza kula wali,kula Milo miwili au mmoja kwa siku! Wanga wa kutumia uwe viazi vitamu,magimbi na mihogo ichemshwe iskaangwe. Matatizo karibu yote ya tumbo husababishwa na mtindo mbaya wa chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…