Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule

Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Haswa shule za boarding ambazo ni wasichana tupu. Hilo tatizo Huwa la kuishiwa nguvu miguuni huyokea mara Kwa mara.

Kufuatia hiyo shule ya kenya ya wasichana inayotrend, lakini Mimi nimeshaishuhudia mara nyingi.

Poa Kwa shule za mchanganyikon huw inatokea ila Kwa uchache sana.

Je, kuna namna ya kuelezea swala hili kitaalamu?
 
Nyege zikibana miguu inashake?

Kila mtu ana tabia zake nyege zikimbana. Miili ya binadamu haifanani kila kitu.

Hao mabinti wanapata hysterical attacks zinazosababishwa na nyege.

Wazungu baada ya kulijua hilo ndio maana wameruhusu mahusiano ya boyfriend na girlfriend kwa watoto wao.

Pia kinamama wazungu wanawanunulia mabinti zao dildo na vibrators ili wajimalize nyege zao wenyewe
 
Attachments

  • Screenshot_20231005-114442_Firefox.jpg
    Screenshot_20231005-114442_Firefox.jpg
    124.1 KB · Views: 2
Kila mtu ana tabia zake nyege zikimbana. Miili ya binadamu haifanani kila kitu.

Hao mabinti wanapata hysterical attacks zinazosababishwa na nyege
Kwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?

Yani kwa mfano mmoja wao angehisi kiu ya maji, hiyo kiu kuna uwezekano wa kuwashika wote kwa muda mmoja?

Au imekaaje.
 
Kwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?

Yani kwa mfano mmoja wao angehisi kiu ya maji, hiyo kiu kuna uwezekano wa kuwashika wote kwa muda mmoja?

Au imekaaje.

Age zao zinafanana. Na asilimia kubwa wanakuwa hawajawai kufanya mapenzi ndio maana wanapata kwa pamoja.

Hiyo ya pamoja inaitwa Mass Hysteria.

Nenda kafanye research google na youtube utaelewa zaidi.

Ama nenda kamuulize daktari bingwa wa wanawake.. atakueleza
 
Kwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?

Yani kwa mfano mmoja wao angehisi kiu ya maji, hiyo kiu kuna uwezekano wa kuwashika wote kwa muda mmoja?

Au imekaaje.
Anachokiandika sio sahihi labda alete ushahidi wa kitaalam nasio maneno ya vijiweni. Hii Hali hata jkt inawakumba Sana kinadada kutokana na mazoezi
 
Basi itakuwa upwiru wa teenagers si mchezo!

Vyuo wa kati vya kike pekee vipo ila hukuti haya matukio.
 
Age zao zinafanana. Na asilimia kubwa wanakuwa hawajawai kufanya mapenzi ndio maana wanapata kwa pamoja.

Hiyo ya pamoja inaitwa Mass Hysteria.

Nenda kafanye research google na youtube utaelewa zaidi.

Ama nenda kamuulize daktari bingwa wa wanawake.. atakueleza
Mkuu, bado maelezo yako hayatoshi kuthibitisha hayo madai kwamba inatokana na nyege,.... Huenda kuna ugonjwa mwingine, Mfano tukisema labda kuna chakula wamekula ambacho kimepelekea tatizo hilo inaweza ikaingia akilini kidogo,.

Maana nyege ni kama kiu tu, sidhani kama kundi la watu kumi wanaweza kuhisi kiu kwa wakati mmoja.
 
Kitaalamu inaitwa Hysteria.

In old age, ikimuwa inatibika kwa kustimulate genitalia.
 
Back
Top Bottom